RPC kaulizwa swali la kwenye pepa ya Latra ..
Ni muda gani dereva unapaswa kupunguza mwendo
A. Kwenye ukungu
B. Usiku
C. Kwenye mvua
RPC akaona aje na maelezo ๐๐๐
Kampuni ya Mofat inayotoa huduma za mabasi ya Mwendokasi Dar es Salaam imetangaza ajira 360. Kwenye ajira hizo wanahitajika madereva 200 na watoa huduma kwa wateja 160 wenye elimu kuanzia Certificate, diploma na bachelor.
Namshukuru MUNGU jumapili yangu nimeianza na hii VIDEO hakika watanzania wamefunguka VICHWA SIO MCHEZO.
Mjomba anapiga PANAPOUMA KWA LUGHA NYEPESI SANAAAA.
REPOST 200
DAR: Kauli ya beki wa Simba, David Kameta โDuchuโ aliyoitoa Agosti 31, 2026 wakati akihojiwa na Kituo cha Redio cha Times FM alipozungumzia madai ya kutumia jina la mtu mwingine katika utambulisho wake rasmi wa kikazi.
Ikumbukwe kuwa Agosti 28, 2026, Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv aliandika โMchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote.โ
Zaidi tembelea https://t.co/2J9FMVkXsB
#JamiiForums #JFMdau2026
Wauaji walimualika Benny Hinn aje Tanzania kwa mwaliko wao
Lengo kuhadaa Wakristo na watu wa kanisa
Kabla hajaja akampigia simu Apostle Mwingira maana ni marafiki
Apostle akasema mimi siwezi kutumika kusafisha damu za watu
Kama unakuja uje kivyako, ila mimi siwezi kuja kukupokea
Mtu huyu (Tundu Lissu) hajawahi kujenga reli wala daraja la juu (fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi.
Unapoishi na hiyo roho ya ushindi ndani yako, kama mtu anataka kukuua huwezi kufa, Kwa sababu wewe ni mshindi.
Mshindi Huwezi Kumshusha.
Mshindi Huwezi Kumuangamiza.
Mshindi Huwezi Kumtishia.
Mshindi Huwezi Kumshinda.
"How are you going to conquer the man with the spirit of victory"?
Kwa tafsiri ya kiswahili
"Unawezaje kumshinda mtu mwenye roho ya ushindi"?
Apostle & Prophet J. Mwingira Of Efatha Church
Endelea kumsikiliza....
VIDEO:
Royal TV Plus inakukaribisha kusikia simulizi ya utetezi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu anaondelea kuutoa Mahakamani, katika kesi ya uhaini inayomkabili.
NB: YouTube ya Royal TV Online ina undani wa hili.