A Science Journalist working with Sokoine University of Agriculture's MEDIA as Radio Incharge, Winner of OFAB African Science Journalist of the Year 2018.
@WFPChief@WFP Congratulations to you and donβt forget Tanzania, itβs blessed beautiful country that can feed the World if assisted with technology and infrastructure.
@ayubu_madenge Lete source ya hizi habari zako, Kumhamishia Rais wa Mstaafu Kenya tena wa Marekeni mzee unatuingiza chaka. That will never happen kiusalama na hakuna kazi ya maana ya kumleta Obama kuishi Kenya nchi ambayo usalama wake unasumbuliwa kila siku na magaidi.
@Liberatus80@venusnyota Kwa uelewa wangu kama itifaki ilipangwa hivyo hakuna wa kuipangua ratiba hapangi yeye ila alikuwa akiingoza tu. There was a reason for that I think hata kama ungevaa viatu vyake usingeweza mshitukiza Rais na maswali ambayo hakutategemea
@eastafricatv@SuluhuSamia@Tanfootball Nafikiri ni jambo zuri sana, Najaribu pia kuwaza nini kitatokea kama Tukitangaza kuwa hiyo mechi muhimu haitakuwa na Kiingilio? Ili tuujaze uwanja wooooote. Mimi nadhani Tunahitaji kufuzu AFCON kuliko Kiingilio.