ASK RWEYONGEZA
"TAFAKARI KAMA TAIFA LETU LINGEKUWA NA VIONGOZI WAAMINIFU, WATU WANGEUSEMA UKWELI BLA KUOGOPA MTU, TAFAKARI VYOMBO VYA HABARI NA WANANCHI WANGESEMA UKWELI TAIFA LINGEKUWA WAPI"
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amemjibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, akisisitiza kuwa wananchi wanaotafuta haki kupitia Mahakama hawapaswi kutishwa wala kuzuiwa kutekeleza haki zao za kikatiba.
Kupitia andiko alilochapisha kwenye mtandao wa kijamii, Mwabukusi alisema kupeleka shauri Mahakamani ni njia halali ya kutafuta tafsiri ya sheria pale mtu anapokuwa haridhishwi na uamuzi uliotolewa.
"Mtu anapopeleka jambo Mahakamani ni ili kupata tafsiri sahihi ya mkanganyiko wa kisheria kutokana na uamuzi asioridhika nao." ameandika Mwabukusi.
Ameeleza kuwa hoja zinazohusu uamuzi unaopingwa zinapaswa kujibiwa kupitia taratibu za Mahakama, ambapo Jaji au Hakimu hupima hoja za pande zote na kutoa uamuzi kwa mujibu wa sheria, huku upande usioridhika ukiwa na haki ya kukata rufaa.
Mwabukusi pia amekosoa matumizi ya majukwaa ya kisiasa kutoa kauli za vitisho kuhusu shauri ambalo tayari lipo Mahakamani, akisema hatua hiyo ni kinyume cha maadili ya uongozi katika utumishi wa umma.
"Kupiga kelele majukwaani na kutumia cheo chako kumimina vitisho dhidi ya walalamikaji au mawakili wao kwenye suala ambalo tayari lipo Mahakamani ni ukosefu mkubwa wa nidhamu na ni kinyume cha Maadili ya Uongozi katika Utumishi wa Umma." alinukuliwa akiandika.
Katika hitimisho la ujumbe wake, Rais huyo wa TLS amesisitiza kuwa wazalendo hawapaswi kuogopa vitisho wanapotekeleza wajibu wao wa kisheria na wa kikatiba.
Kauli ya Mwabukusi imekuja ikiwa ni majibu ya tamko lililotolewa jana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, mjini Shinyanga, kuhusu suala ambalo kwa sasa lipo mbele ya Mahakama kuhusu zuio lake la kuzuia mikutano ya hadhara, akisema wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo. Mjadala huo umeibua mijadala mbalimbali kuhusu uhuru wa wananchi na mawakili kutumia mifumo ya kisheria kutafuta haki bila hofu ya vitisho.
APPRECIATION POST YA WANAHARAKATI WANAOPAMBANA INSTAGRAM NA TIKTOK!!!!
NCHI YENU IKO PROUD NA NYINYI. KUBALINI WITH PRIDE, MAJINA YOTE MNAYOPEWA NA WAUWAJI WA OCTOBER 29.
Jueni kuwa nyinyi sio wapigania haki wa kwanza kuwa demonized na serikali kama hii serikali haram, serikali ya 6 ya TANZANIA.
South Africa, activists na wadai haki waliitwa “trouble makers” na “magaidi” , Kina Mandela walikaa jela miaka karibia 30 sababu walikuwa labeled magaidi na wahalifu wanaoharibu amani ya South Africa. Mwisho wa siku gaidi wa South Africa, akawa Rais wa South Africa.
Hapa Marekani Martin Luther King alikamatwa na kufungwa mara karibia 30 ,serikali ya Marekani ikidai ni mhalifu na anataka kuharibu amani ya Marekani. Leo nchi ya Marekani ina sikukuu ya Martin Luther King day. Yule mhalifu alietaka kuchafua Amani ya Marekani leo ana sikukuu yake Marekani. Siku ya Martin Luther King Day,kila mtu serikalini anakaa nyumbani na kumkumbuka kwa kazi yake ya kudai haki ya watu weusi Marekani. Na sisi wanaharakati wa Tz kuna siku tutaheshimika, although leo sisi ni magaidi.
Tusiende mbali, kabla ya katiba mpya kupatikana Kenya, wanaodai haki na activitists waliitwa majina yooote mabaya na serikali ya Kenya, mpaka wakaitwa “‘maadui wa maendeleo”. Leo Kenya inaongoza kwa haki na demokrasia East Africa Nzima. (Though Ruto anataka kuwaletea ungese wa Samia). They are not 100% there but they are almost there.Kenya is doing better in democracy than entire East Africa or maybe entire Africa, after SA.
My point is, wanaharakati wa Tz leo tutaitwa wahalifu na magaidi ila naomba muamini kuwa mkiendelea kupigana kuna siku serikali mpya ya Tz itawavalisha medali za ushujaaa. KEEP FIGHTING!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watanzania tusikubali Lissu akae jela muda mrefu ili Tz ipate haki. This is 2026, there are way more tools and technology to help LISSU TODAY THAN THERE WAS BACK IN THE DAY TO HELP MANDELA.
TANZANIA, TUKO HAPA TULIPO ILI TU FAMILIA 2 ziendeleee kuinyonya Tanzania, FAMILIA YA KIKWETE NA FAMILIA YA SAMIA SULUHU!!! Shame on jeshi la polisi na MOMBO- (USALAMA WA TAIFA) Hivi vyombo viwili ndio vinavyoruhusu familia hizi 2 kuharibu nchi!!!!!!
Bashite ni mshenzi sana
Anataka kuua Watanganyika kwa madawa yaliyoisha muda sababu ana kwepa gharama za kuharibu hayo madawa kwa njia sahihi
Yeye ni mtu yuko kwenye biashara ya pharmacy ghafla anasimamia kusambaza madawa halafu kuna watu wanajihita TISS wapo tu
Anafanya dram nyingi kumbe anafanya miili ya Watanzania kama Dampo la madawa yaliyoharibika
‼️🚨BASHITE NA UTAPELI NI PETE NA KIDOLE‼️
Huyu jamaa hajawahi kufanya jambo la maana zaidi ya kuua na kuteka! Sasa baada ya kushiriki njama zote ovu anasimama na kutangaza kambi ya tiba Arusha na kumsingizia Mungu huku akiwa wamechangia watu kuwa wajane na wamama kupoteza vijana wao kwa utekaji na mauaji yake
Lakini sasa mdau amedokeza kuwa kuna madawa pia yame expire kutoka pharmacy za marafiki zake!
Ni hatari sana mambo haya! Ila #TutaelewanaTu mbona?
BREAKING NEWS: TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 140
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 140 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Safari inaendelea.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Pia, Diaspora tunaweza sukuma mzigo kwa dada wa Taifa, @mangekimambi.
Asante sana
Ni muda sana Nchimbi amegomea kushiriki vikao vya Samia aka baraza la mawaziri
Imefikia hatua, Dk Mpango na Majaliwa nao wanahudhuria lakini Nchimbi ameingia mtini
Kama tukifuata sheria na Nchi na Viapo, Katiba imesema ni nani wajumbe wa baraza la mawaziri.
Kwa maana hiyo ili sio hata baraza sababu serikali yenyewe ni fake
Kama nuksi ingekuwa na jina basi jina lake ni samia, Bi Msumi ana nuksi
ametoka Rusia Juzi tu hapa, jana Rusia amepiga mabomu mameli ya Azizi anayosajili huko Zanzibar.
walituambiwa wako vizuri na Urusi kumbe walitaka mdanganya Putin wawe wanapitisha meli zinabendera ya Tanzania zikifanya magendo na kusafirisha madawa ya kulevya
Dunia imewakataa kabisa hawa wahuni
Nimeshatoa michango mingi kwa @ChademaTZ2 ila leo nimetoa tena sababu kuchangia chadema mara moja haitoshi lazma tuchangie kila mwezi.
Hakuna tena kusapoti Chadema kwa mdomo na comments, ni lazma tusapoti kwa kutoa pesa, kama msemo unavyosema “put your money where your mouth is”.
Diaspora mlioko nje na hamuogopi kutuma pesa kwa Chadema please tuma pesa sasa hivi
Vodacom Mpesa - 0744 446969
Jina: Chadema HQ
Bank : NMB - 22606600140
Jina : CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO.
Kwa Diaspora ambao mnaogopa kuwatumia pesa Chadema coz mtakuwa targeted mkienda bongo kutembea, huyu mpiganaji wetu @Liberatus80 amejitolea kupokea pesa zenu kupitia Cashapp, PayPal, zelle na njia zingine then atazifikisha Chadema.
Mimi pia najitolea kupokea michango ya Diaspora wa nchi yoyote sio Marekani tu ambao mnaogopa kuwatumia Chadema pesa then nitawafikishia, you can use PayPal @[email protected]
Au Zelle 424-537-3057
Au cashapp: $mangekimambi
Au banking:
Bank: Wells Fargo
Account #: 8433034900
Domestic wire (US) - 121000248
International wire- WFBIUS6S
‼️MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA IMEAMUA KUTUMIKA‼️
Baada ya Jeshi la Polisi kuwakamata Viongozi wa CHASO Mkoa wa Mbeya tangu Julai 4 na kukaa nao kinyume cha sheria hadi leo.
Julai 11, 2026 Mawakili wetu wakiongozwa Philip Mwakilima walifungua kesi kwa hati ya dharura Mahakama Kuu ya Mbeya kuitaka Mahakama imuite Patrobas Katambi, IGP, RPC & RCO wa Mbeya pamoja na OCD ili wakaseme kwanini hawataki kuwapeleka Vijana hao Mahakamani au kuwapa dhamana.
Ikumbukwe Mawakili walifungua kesi kwa HATI DHARURA ili kesi isikilizwe haraka kwasababu hao Viongozi wa CHASO wanatarajia kuanza mitihani July 20, 2026 ili lakin Mahakama imepanga kusikiliza kesi hiyo July 23, 2026.
Mahakama imeungana na Jeshi la Polisi kuminya HAKI ya Vijana hawa ili wasifanye mitihani yao.
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Kibaha mjini ndg Shabani Ally Mchezo akielezea namna alivyofatwa na kuahidiwa kiasi cha milioni 1 kumtuhumu mh John Heche
Wakati tunaanza kupush michango ya #ToneTone kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu Maccm na vibaraka wao wakasema hatuwezi kufikisha hata milioni 10, leo tumefikisha 70M wamejikausha kimya kama sio wao.
Tuliwambia CHADEMA ndo chama pekee cha SIASA Tanzania ambacho kinaungwa mkono na Watanzania wengi hawakuelewa sasa hili limethibika kwa vitendo.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
‼️TUMENASA MAZUNGUMZO YA MADALALI WA PROJECT YA KUMSHAMBULIA MHE. HECHE‼️
Huyu anaitwa Shaban Mikongoro ni mpambe wa Susan Kiwanga na ni Kiongozi wa CHAUMA Mkoa wa Morogoro.
Hii Sauti inayosikika hapa ni majibizano kati ya Mikongoro na Kiongozi wa BAWACHA Kanda ya Kati ambapo Mikongoro anasikika akimshawishi Kiongozi huyo akubali kufanya press ya kumtukana Mhe. @HecheJohn kwa ahadi ya ujira wa milioni moja.😂😂😂
Nduli Idd Amin Mama na mwanae Abdul wanachezea kodi zetu kwa kuliipa hawa vibaraka wao ili wamshambulie Mhe. Heche kwasababu hataki kuimba wimbo wa Maridhiano.
Sikiliza mazungumzo haya kwa makini mwanzo hadi mwisho ili uone hawa vibaraka wa CCM walivo na akili ndogo.🚮
Kwenu Gen Z,
Oyaa! Mzigo umepanda. Target imehama, sasa tunaelekea Bilioni 5.
Msiache hii iwe kazi ya watu wachache. Kizazi chenu kimeonyesha mara nyingi kuwa kikiamua, hakuna kisichowezekana.
Mmebadilisha mijadala, mmeamsha matumaini, mmefanya sauti ya mabadiliko isikike kila kona ya nchi. Sasa ni wakati wa kuipa sauti hiyo nguvu ya mchango.
Tusibaki kwenye likes, reposts na hashtags pekee. Tuweke pia alama zetu kwenye Tone Tone.
Usichangie kwa sababu umeombwa. Changia kwa sababu unaamini. Hata elfu mbili yako ni sehemu ya Bilioni 5 tunayoiandika pamoja. Hakuna mchango mdogo unapokuwa wa watu wengi wenye imani moja.
Tonesheni Tone Tone. Tufanye historia pamoja, ili kesho tukisimulia ushindi huu, kila mmoja aweze kusema, “Nilikuwepo.”
CHADEMA MPESA- 0744446969
Wenu katika Struggle,
G. J. L
100%. Hatuwezi kusapoti Chadema kwa maneno tu, lazma tutoe pesa.
Ngoja niwaambie kitu Watanzania, Chadema kukosa pesa ndio moja ya sababu kuu CCM wanawapata watu wa kufanya hizi press za kumchafua Heche.
Watanzania, hatutafika popote kama Chadema haina pesa .
Ni aibu kubwa sana nchi inayolilia haki leo ni siku ya 3 tumekusanya 50 million tu, ni aibu. Mtu ananunua bando ili aingie insta asome umbea wa nani kaachana na nani? Hizo buku 5 za bando la kufatilia umbea si ungetuma Chadema?
Reality is bila Chadema kuwa na pesa hakuna msaada mkubwa wataweza kutupa…….. Watu wanatupigania ila hata kuwasapoti na kufanikisha kazi zao kwa kutoa pesa tunashindwa??? Hii haki tunayoidai itakuja kimiujiza bila pesa kuwepo za kufanya movement ????
Kama unakubaliana na nilichosema basi, kabla huja Like hii posti, kabla hujareposti, kabla huja comment kabla hujamforwadia mtu hii link tuma pesa kwenye hii number.
vodacom: 0744 446969
Jina: Chadema HQ
Kingine nna swali kwa Chadema hawa wanachama wenu mamilioni, mna namba zao simu? Yani mna database ya wanachama. Je mnatuma messages kwa wanachama kuwakumbusha kuchangia? Mimi personally hapa Marekani huwa nasumbuliwa na message za chama mpaka natuma mwenyewe pesa. Maana message inakuja na link kabisa ya kutuma pesa, tena wanani address kwa jina.
Kwasasa mjadala ni watu kuichangia CHADEMA BRO (TUPO NJE YA MUDA).
Mimi nimeapa mbele ya watanzania kuwa lazima tufikie LENGO la kupata MILIONI 340.
Nilifungulia kampeni hii kwa kuchangia 1M na sasa tuna 50M ndani ya masaa 96.
Tukifikisha 100M—nitachangia tena 2M kuanzisha safari ya kuisaka 200M.
Tukifikisha 200M—Nitachangia tena 3M kuanzisha safari ya kuisaka 340M.
Bro inawezekana hii—kama ulichangia jana fanya tena jua hatujamaliza. Kila mtu aweke nadhiri yake kwenye kukamilisha hili tunaweza wanangu.
REPOST 200.
Tuma mchango wako sasa.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo