Kwa kawaida Mwalimu akiwa darasani ni sawa na mbunge bungeni au hakimu akiwa mahakamani…
Anakua na kinga ya Asili huwezi kukamata mwalimu kwasababu ametoa mfano usioupenda au unaokuudhi..
Serikali ya kidkteta ya kidhalimu ya Samia inakamata walimu wanaofundisha wanafunzi kujua uovu wa serikali.
Jeshi la Polisi Tanzania (@tanpol) linamshikilia isivyo halali mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano ya tarehe 7/7.
Kwanza, maandamano ya amani ni haki inayolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wajibu wa dola si kuyazuia kwa mabavu, bali kuhakikisha yanafanyika kwa kuzingatia taratibu za kisheria na kulinda usalama wa washiriki na raia wengine.
Kinachoendelea sasa cha kukamata, kutisha na kuwabambikizia kesi wahadhiri wa vyuo vikuu ni shambulio dhidi ya uhuru wa mawazo, uhuru wa kitaaluma na misingi ya utawala wa sheria. Taifa linalowatisha wasomi wake linajiandalia hasara kubwa ya kizazi na linadhoofisha uwezo wa vyuo vikuu kuzalisha viongozi, wabunifu na wataalamu wa kesho.
Waziri wa Mambo ya Ndani, @PatrobasKatambi, una wajibu wa kuingilia kati na kukomesha vitendo hivi vinavyokiuka sheria na haki za msingi za wananchi. Ukimya wa uongozi mbele ya ukiukwaji wa haki ni kushiriki kuhalalisha ukiukwaji huo.
Waziri Mkuu, @mwigulunchemba1, hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa kuhakikisha mhadhiri huyu anaachiwa huru ikiwa hakuna msingi wa kisheria wa kuendelea kumshikilia, na wale wote waliohusika na ukiukwaji wa sheria wawajibishwe.
Hatutajenga taifa linaloheshimu sheria kwa kuwanyamazisha wanaofikiri tofauti. Hatutaimarisha demokrasia kwa kuwatisha walimu wa vyuo vikuu. Na hatutazalisha viongozi wenye maono ikiwa vyuo vikuu vitageuzwa vituo vya kuzalisha waoga na wanasifu mamlaka badala ya wasomi huru.
Kulinda uhuru wa kitaaluma ni kulinda mustakabali wa Tanzania.
ASANTENI sana kwa Tone Tone.
Lakini ni muhimu tuambiane ukweli. Bado sana. Kasi yetu ni ndogo mno kulinganisha na ukubwa wa CHADEMA, idadi ya watu wanaotamani mabadiliko na ukubwa wa jukumu lililo mbele yetu.
Mabadiliko hayaji kwa maneno mazuri, likes, shares au shangwe za mikutano. Mabadiliko yanahitaji sacrifice. Yanahitaji commitment. Yanahitaji kila mmoja wetu kubeba sehemu yake ya mzigo.
Tunaweza kuzungumza kwa saa nyingi kuhusu demokrasia, haki na mustakabali wa nchi yetu. Lakini ukweli mmoja unabaki palepale, hakuna chama cha siasa kinachoweza kufanya kazi bila fedha za kutosha. Na hatuwezi kuwa na fedha za kutosha kama utamaduni wetu wa kuchangia utabaki kuwa wa kusubiri wengine wafanye.
CHADEMA ina uwezo wa kukusanya hata bilioni moja kwa siku. Kinachotukwamisha siyo umaskini wetu, bali mtazamo wetu. Kila mmoja wetu anamfikiria mtu fulani atachanga. Naye huyo mtu fulani anamfikiria mtu mwingine atachanga. Mwisho wa siku, hakuna anayechanga vya kutosha kwa sababu kila mtu alikuwa anamngoja mtu fulani. Nina habari moja kwako. Huyo mtu fulani ni wewe.
Usisubiri mwanasiasa. Usisubiri mfanyabiashara. Usisubiri tajiri. Usisubiri rafiki yako. CHADEMA ni jukumu letu sote. Kiasi unachotoa siyo muhimu kuliko uamuzi wako wa kutoa. Tone Tone ya watu milioni moja ni kubwa kuliko mchango wa mtu mmoja wa milioni mia moja.
Tusijenge utamaduni wa kushangilia wanaochanga. Tujenge utamaduni wa kuchanga. Tafadhali, kuwa sehemu ya suluhisho. Kuwa huyo mtu fulani anayechanga, na siyo yule anayefikiri mtu fulani atachanga.
Mabadiliko tunayoyataka hayatakuja siku moja. Lakini yanaweza kuanza leo, kwa Tone Tone yako.
Pls, be concerned.
Much Love !
Unaangalia fainali ya Kombe la Dunia 2026: Perfomance za maana kutoka kwa Post Malone, iShowSpeed, Madonna, Shakira, Burna Boy, BTS, Justine Bieber, Gustavo Dudamel, ColdPlay hadi Tom Cruise (special guest). Hakuna picha ya mwanasiasa, wala hakuna mtu anayemlamba miguu mtawala au Serikali. TRUMP kakaa jukwaani, hakuna mbwembwe. Jennifer Hudson na Maria Becerra wameimba nyimbo za taifa, wakaondoka zao. Sasa rudi huku kwetu uswahilini lazima wamshukuru mtawala; hivi huu ‘uchawa’ wa kusifia watawala kila sekunde tumeurithi wapi? Ulaya na Marekani wamefanya sekta ya burudani na michezo kuwa biashara inayojitegemea (pure entertainment business). Subiri AFCON 2027. mabango ya ‘mama amewezesha’ au ‘mama amefanikisha’ yatajaa barabarani hadi sebuleni. Utasikia “Hamtaki show kama hii ifanyike kwenye arena?”
Vyombo vya habari Tanzania mlishindwa kuandika habari hii ya ufisadi mkubwa kuwahi kutokea Nchini Tanzania… zaidi ya trilioni 2 kwa kukwepa kodi na wizi kwenye sekta ya mafuta.
TPDC kuchukua jukumu la kutoa tenda bila ushindani ambayo imesababisha wizi mkubwa kwa kisingizio cha vita.
Watanzania wameumizwa kwa kuuziwa mafuta bei juu wakati katibu mkuu bwana Mataragio alisema mafuta yapo Nchi ambayo yaliingia kwa bei rahisi..
Watanzania tuna wajibu wa kupiga kelele mpaka hawa majambazi wawajibishwe.
We established Namaro belongs to the powerful Nahdi family, which also owns Oilcom and Amsons group. This places them as one of the key stakeholders at several segments of the fuel industry in the country, which saw an exceptional hike in the prices since April.
In Tanzania, during the Hormuz crisis, the government has taken over the fuel supply bidding process, delegating purchase of petroleum to parastatal TPDC in a closed tender.
One provider emerged for TPDC, and is now stronger than ever: Namaro Energy ⬇️
https://t.co/sFCyiNyT2A
Kaka, Ahsante sana kwa hii heshma ila nimekaa chini na nimefikiria sana ubaya na uzuri wa mimi kupokea pesa za diaspora.
Ubaya ni kwamba nikipokea hizi pesa basi nimepoteza nguvu ya kumtetea Heche kuhusu michango ya tone tone maana watasema “Huyo Manga lazma amtetee Heche maana yeye mwenyewe anakula michango ya Diaspora” , sasa nitajikuta badala ya kumtetea Heche niko busy kujitetea mwenyewe. Na chochote nitachosema kumtetea Heche au Chadema kwenye swala la tone tone hakitokuwa na nguvu tena kwa wananchi. Yani utetezi wangu utakosa uzito.
So mimi naomba nikae mbali na michango ili niwe na authority ya kupambana na mbwa za Samia zinazotaka kumchafua Heche.
Maridhiano mnayojadili ni kati ya nani na nani? CCM na CHADEMA? CCM iko Polisi, CHADEMA iko Ukonga. Sasa tufanyeje? Tuwafungulie CCM kutoka Polisi na CHADEMA toka Ukonga, ndipo tutapata fursa ya maridhiano ya aina yoyote!
CCM imeishiwa mbinu zote za kupambana na Chadema
Imetumia polisi
Imetumia media
Imetumia mahakama
Imetumia wenye njaa
Imetumia bunge na serikali
Imetumia viongozi wa dini lakini wapi
Wanafikiri wanadhoofisha Chadema kumbe wanaijenga kwa kukifanya kiwe cha imani mioyoni mwa watz
Nikiona Comments kama hizi nafurahi sana maana nilitaka nione MAUMIVU KAMA HAYA.
Mwaka wa pili sasa hawajui
1: Naishije.
2. Nakula nini.
3. Napata wapi PESA ZA KUJIKIMU.
Wao wananiona tuu kila siku mitandaoni nachana ndevu safi, kula jezi Kali za bei mbaya, nabadilisha simu latest kila wakati, sijawahi kulilia NJAA, afya inanawili kama kawa MNYAKYUSA.
Niliwahi kusema HAWA WAPUMBAVU (WAKOLONI WEUSI), wakitaka kukupelekesha wanavyojua wao watahakikisha wanazuia ulaji wako.
Mimi kuzuia ulaji wangu hakikisheni “Argentina na messi hawafanyi maajabu , Arsenal anafungwa kila siku, Man u anakandwa kila siku”. Yani kiufupi muwe mnazihonga team ninazobetia zisitoe ninavyotaka—hapo mtazuia ugali wangu.
Kinyume na hapo mimi naendelea kunawili mbele ya macho yenu na kuishi vizuri maisha ambayo hakuna TAKATAKA yeyeto (POLICE) atakuja kuishi mpaka anazikwa na ukoo wake wote.
Huu ni mwaka wa PILI nawaahidi MUNGU AKINIPA AFYA NJEMA NA MIAKA MINGI CHINI YA JUA mtaona mengi sana mbona BADO.
Mimi sijaanza kuichangia CHADEMA LEO na sitaaishia hii kampeni ikiisha—kikubwa wananisaidia KUPAMBANA NA WAKOLONI WEUSI KULETA HAKI NDANI YA TAIFA-NITAENDELEA KUWEKA HELA NAAMINI SIKU MOJA MKEKA WANGU UTATIKI TUUU NA UKITIKI WAKOLONI WEUSI WOTE MPO JELA MAMAE ZENU.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Utasikia, “Mheshimiwa, tuko pamoja” Kama maneno haya yangekuwa vitendo, CHADEMA ingekusanya Bilioni 1 ndani ya masaa 12.
Bilioni 1 ni watu 500,000 wakitoa Sh 2,000 kila mmoja; watu 100,000 wakitoa Sh 10,000 kila mmoja; au watu 100 tu wakitoa Sh Milioni 1 kila mmoja. Tusiruhusu maadui zetu watucheke. Tusimame kwa vitendo, si kwa maneno pekee.
Tukiamua, tunaweza kukusanya hata Bilioni 10 ndani ya wiki moja. Impossible is Nothing.
M-PESA: CHADEMA HQ – 0744 446 969
CHADEMA NMB: 22606600140
But who tf do they think they are? Mnadhani sisi nini misukule kuwa mtauwa kila mnayetaka, kwamba hatuwezi kujihami? Ulizeni assassins wa Mdude kilichowakuta. Of course, vukeni mpaka mkiwa mmefunga gidamu za viatu. Haitakuwa rahisi I promise y’all mofo!!
Stay safe, comrades!
Wamemuweka Mwenyekiti Jela, Sasa Hivi Wanaeneza UONGO Dhidi Ya Makamu Na Kushinikiza Ajiweke Pembeni Kupisha Uchunguzi
Unajua Lengo Lao? Wanataka CHADEMA Ikose Uongozi Ili Msajili Apate Mwanya Wa Kuitisha Uchaguzi Kisha Waweke Viongozi Wanaowataka
Hii Mbinu HAITAFANIKIWA KAMWE!
#TANZANIA: CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU, HAMUWEZI KUFANIKIWA, HAMUWEZI KUMUHUJUMU HECHE - MZEE FUTUHI
Katibu wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati, Mzee Futuhi hii leo Julai 14, 2026 amewasihi viongozi na wanachama cha CHADEMA kukataa kushawishika kwa fedha kuisaliti chama hicho, amesema wanatakiwa kukilinda chama hicho kinachowatetea Watanzania wote.
Aidha, Mzee Futuhi amesema CHADEMA ni mpango wa Mungu hivyo hakuna atakayefanikiwa kukiangusha wala kumchafua kiongozi wao John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara.
Zaidi: https://t.co/OvRCOsw3gh
Hata akila hela zote za chama kwa kazi nzuri inayofanywa na Mhe Heche tutamchangia nyingine ili azile!
Tuhuma hewa za hela za CHADEMA nguchiro za CCM na matawi yake ndizo zinazoumia na kulalamika, ila mabilioni yanayotajwa na CAG kuliwa husikii hata nguchiro moja ikilalamika!