Kwa mara ya kwanza Pep Guardiola amefungwa na Liverpool akiwa uwanja wake wa nyumbani wa Etihad kwenye EPL. Pia huu ni msimu wa kwanza wa Pep Guardiola kufungwa mechi nyingi zaidi kwenye msimu mmoja tangu awe kocha.
“Mike Tyson alipokua kwenye ubora wake angempasua Jake Paul ndani ya Sekunde 90 tu. Tyson mwenye miaka 58 amepambana round 8 dhidi ya mpiganaji bora zaidi mwenye nusu ya umri wake. Mfanyie mzaha kadri utakavyo lakini Tyson ana moyo wa SIMBA… na atabaki kuwa Legend” Piers Morgan
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kwa Abiria waliopata changamoto ya kuchelewa kufika kwa wakati Jijini Dar wakitokea Dodoma, Agosti 1, 2024 baada ya kutokea hitilafu za kiufundi ambazo hazijawekwa wazi
Hii ni mara ya pili kwa Shirika hilo kuomba radhi, ikumbukwe, Julai 30, 2024, Treni ya SGR kutoka Dodoma ilichelewa kufika Dar baada ya kuripotiwa kutokea hitilafu katika Mifumo ya Juu ya Umeme
Soma https://t.co/TqyOFPDa5N
#JamiiForums #Governance #JFHuduma #Accountability #ServiceDelivery
Hatuna wazazi matajiri,
Hatuna Baba mdogo ubalozini wala shangazi hapo bungeni,
Hatuna shemeji wala kaka/Dada kwenye “System”
Hustle zetu ni kama msitu, tunapasua ili kutengeneza njia yetu wenyewe.
Kila kitu ni sisi dhidi ya dunia, ni sisi na MUNGU wetu.
Shindano la Stories Of Change 2023 linakupa nafasi ya kueleza Mabadiliko yanayoweza kufanyika ili kuchochea Mabadiliko chanya kwenye Utawala Bora au Uwajibikaji katika sekta mbalimbali, na kuwa miongoni mwa Watu wanaoshindania kitita cha Tsh. Milioni 20
Kufahamu zaidi kuhusu Shindano hili tembelea https://t.co/XgvO5TOrQd
#JamiiForums #StoriesOfChange #Uwajibikaji #UtawalaBora #Accountability #StoriesOfChange2023 #GoodGovernance #JFToons
Kanisa moja mjini Boston limepigwa radi na kuungua lote wakati ibada ya ndoa ya mashoga ikiendelea. Hakukuwa na mvua yoyote wakati wa radi hiyo na hakuna yeyote aliyepona.