#TajiriLaKihaya
Kama wewe ni Follower wangu mpya, fahamu ya fuatayo kunihusu;
Mimi kwanza kabisa ni #TAJIRI, tuki engage saana usijisahau - muda wote fahamu una engage na tajiri ambae ana heshimu kila mtu na hana ubaguzi💯
Mimi ni MSOMI nina degree mbili zote kutoka nje ya nchi💯. Ila kuna muda naingia online bila akili zangu kabisaa kwa hio usichanganye…
Mimi ni MHAYA, na kama ujuavyo wahaya tunapenda SIFA saana… kwa hio usianze kuniambia kwenye comments ‘acha sifa au jamaa unapenda sifa’
Faham kwamba sifa ni mm na mm ni sifa💯
Mimi SIO CHAWA wa chama chochote kile… na amini katika mawazo huru! Nasimamia nacho kiamini hata kama nitabaki mwenyewe!
Uki ni Follow na FollowBack papo hapo… siamini katika kua na shabiki… wote ni wamoja💯
UkiComment kwangu lazima nita LIKE na ku Reply…usijisahau na fanya hivyo kwa wote!
Ukiwa follower wangu, kuna muda utafurahishwa na post yangu na nikuhakikishie kuna muda pia lazima utachukizwa, maana mm sifati mkumbo na post nachokiamini mm binafsi ni sahihi💯
Mimi saa hizi nipo in a serious Relationship na MSAFWA… comments kwenye posts za ma manzi nimeacha kabisaa na DM nmefunga…
Ukinitext DM nisi reply usikasirike, tuendeleee ku engage kwenye timeline.. ya DM yakaushie…
Nmesahau nini?
Hebu mueleweshe follower mpya kuhusu #TajiriLaKihaya hapo kwenye comments👇🏽👇🏽👇🏽