@fbuyobe Kwiiiiiiisha,,kipenyo umekamatika hakuna kitakachobadilika kwenye akili ya wana jumuiya zaidi ya kuwa makini na wewe. Sasa hv Telegram utasogelea mwenyewe hata uko WhatsApp vijana wamestuka
@pastajoshuatz Usichokijua ni kwamba mke wangu Mimi ni STD VII,,na ndio anayenipa furaha ndani ya nyumba yangu na watoto wetu. Nilikataa kuoa wasomi ujuaji mwingi sana
@SaidKunge@prolific_88 Mzee hata mimi najuta,,nili stake elfu 5 ilikuwa inakuja 1.6M cash out ikaja 1M na point,,nikasema nisubiri game ya Madrid na Getafe ila madrid anakufa moja bila,,mamae asubuhi naamka nakuta patupu