Tunalelewa katika mazingira ambayo yanatufanya tuchelewe kujitambua na kutambua dunia inataka nini.
Wakati unapofika na tunajitambua punde si punde mzigo wa majukumu unatua mabegani mwetu.
@PatrickObure18 @heisnabeel Mwanzo huwa mgumu ndio maana unatakiwa kujilazimisha baadae ndio unajenga nidhamu, baada ya kuona faida za akiba na pia kuzoea.
@Luhizo91@YoungAfricansSC Ungejua kama matajiri na watu wenye majukumu yao wanaishi kwa ratiba na huwa na plan ya wiki au mwezi mzima ndio maana wanafanya bookings mapema kuliko unga unga mpaka kesho asubuhi hajui kama anahudhuria tamasha.