Leo jeshi la polisi liliandika na kufuta taarifa yake hapa mtandaoni X
Nilihisi labda wamefuta ili kuboresha taarifa iwe nzuri zaidi inayogusa matukio mengi ambapo jeshi hilo limetuhumiwa kwa ushaidi wa wazi
Lakini ndani ya taarifa hii kuna kitu kimoja kimenishtua...