Ukiangalia huu ujinga ambao JKT wanafundisha vijana huko kwenye kambini zao, utakubaliana na mimi kwamba Nduli Idd Amin Mama tumemshika pabaya ndo maana anahangaika hivi, Tuendelee kukaza.
Halafu hawa Vijana wakimaliza mafuzo ya JKT wakikosa mikopo wanakuja kuomba tuwapazie sauti.๐ฎ
Eti hawezi kunyamazishwa? Basi tunachohitaji na sisi majibu atueleze zile shilingi milioni 10 alizosema za mboga zilitokana na shughuli gani na zile shilingi milioni 800 zilizohusishwa na Escrow zilitolewa au kulipwa kwa ajili ya shughuli gani, yaani hawa wakishakatwa mikia kwa Ufisadi wao wanageuka kuwa wanaharakati wenye uchungu na nchi ilihali ndio walikua Mapapa ya ufisadi kwa kutafuna kodi za wananchi.
ANAJIBU MASWALI KWA KUKWEPA UKWELI WAKATI ANAJUA UKWELI NANI MUUWAJI WA OCTOBER 29? UKWELI UNABAKI PALEPALE HATA UKWEPE VIPI. HAMTAKI WATU WAZUNGUMZIE UTEKAJI WATU WAKAE KIMYA UNAFIKIRI NI NG'OMBE? WATEKAJI WOTE MJIANDAE MUDA UNAKARIBIA TUTAONA. I TELL YOU TUTAONA
WAKIKOSA AJENDA MARIA SARUNGI NA WAPUUZI WENZAKE hujaribu kutafuta njia za kuchochea taharuki (Stori za utekaji)na migawanyiko katika jamii. Watanzania (Vijana) tunapaswa kuwa makini na kuchambua taarifa tunazopewa kabla ya kuziamini au kuzisambaza. Kuna juhudi za kuibua HOFU kupitia matukio ya kutengeneza mbalimbali yakiwemo KUJITEKA KWA MAKUSUDI ili kuvuruga utulivu wa nchi na kupata ushawishi wa kisiasa au kifedha kutoka kwa wafadhili wenye AJENDA ZA MASUALA YA USHOGA. Ni muhimu kuendelea kulinda amani, Tamaduni zetu, mshikamano na utulivu wa Taifa letu kama Watanzania pasipo kuyumbishwa na wanaharakati maslahi.โ
Natoa pole nyingi sana kwa Msaidizi wa Mheshimiwa Tundu Lissu, Ndugu Jumbe, kufuatia tukio baya na la kinyama lililomtokea. Huu si utamaduni wa Watanzania, wala si maadili yanayopaswa kupewa nafasi katika jamii yetu.
Tofauti za kisiasa zisigeuke sababu ya chuki, vitisho, au mashambulizi dhidi ya watu. Taifa lenye afya ya kisiasa hujengwa juu ya ushindani wa hoja, heshima ya utu wa binadamu, na kulinda haki ya kila mtu kuwa salama bila kujali itikadi yake.
Wananchi, wakati umefika wa sisi sote kupaza sauti na kukemea matukio ya aina hii bila kujali tofauti zetu za kisiasa. Ukimya mbele ya uovu unaweza kuupa nguvu uovu wenyewe.
Namtakia Ndugu Jumbe uponaji wa haraka na nguvu katika kipindi hiki kigumu. Pia naomba vyombo husika vifanye uchunguzi wa haraka, wa haki, na wa uwazi ili wote waliohusika wakamatwe na kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Familia nyingi zivunjika kutokana na vifo na majeruhi. Wazazi walipoteza watoto, watoto walibaki yatima na ndoa zilisambaratika kutokana na msongo wa mawazo na matatizo ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia. #AmaniNaUwajibikaji#TumeYaUchunguziReport
Sauti Ya Wananchi
@kingrich438 Which country is this
There is one country where people are slaughtered everyday, kidnapped, tortured and enforced disappearance. Do you know that country where is located in EAST AFRICA. IT IS VERY STUPID AND FUCK COUNTRY IN EAST AFRICA.