@prize_tz@mangekimambi Huyu alijua kucheza na akili za wabongo, analeta ndege mnafurahi anakuja ASSAD anaeleza hasara za ndege mnamchukia anafukuzwa kazi mnashangilia😂😂
@ManjiwaBalozi@Sativa255 Sasa swimming pool langu binafsi linahusiana na biashara nalipa Kodi Kwa huduma gani ambayo Serikali wamejitolea kuhusu pool yangu
@Dunguboy1 Kama risasi zilishindwa ,mahakama inashindwa ,vibaraka na chawa wanashindwa sembuse kamba, nakuapia utatangulia wewe kama aliyetaka kumuuwa Kwa riaasi