Ninawaombea kwa Mungu wa Mbinguni awalinde dhidi ya hila za ibilisi,awaponye wagonjwa,na awape utulivu wa nafsi na amani mioyon mwenu mtakapoenda kulala usiku wa leo vilevile awaamushe kesho mkiwa na afya njema na kuendelea na majukumu yenu ya kila siku. muwe na usiku mwema.
Traffic alinikamata sijafunga mkanda, akanambia sikuandikii faini maana mkanda ni kwaajili ya usalama wako sio kwa ajili yangu, Wewe nenda tu utajua mwenyewe, Mbele kidogo Nikafunga mkanda chap Maneno yake yaliniingia kuliko angenipiga faini, Kuna traffic wanaijua saikolojia.
Mwaka 1980 hadi 1986, Rais wa sasa wa Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah aliishi Magomeni-Mwembechai, Dar es Salaam.
Wakati huo alikuwa Mwakilishi Mkuu wa chama cha SWAPO, nafasi aliyoitumia kupigania uhuru wa Namibia.
Pia, akiwa Tanzania alifunga ndoa na mumewe, Epaphras Ndaitwah, mwaka 1982.
Akiwa nchini kwa ziara ya kitaifa atatembelea eneo hilo alilowahi kuishi.
Professional Muhongo leo alikuwa anatoa hotuba kuhusu uchumi. GDP PER CAPITAL, Investment, Accumulation of Capital na Technology, wabunge walikuwa kmya kama wapo msibani, hata makofi hawapigi sababu ni hawaelewi vitu vigumu, ila sasa wakiwa wanaongea wao kwa wao makofii, 😄 🤣
VIDEO:
“Masuala ya ajira kusema ukweli, lazima tuambizane ukweli. Sio kwamba Wazanzibari tunabaguliwa katika ajira, ziko ajira hatuzitaki wenyewe na mimi nitatoa mfano; mimi na wengine wengi ukiambiwa kuna ajira ya hoteli mtoto wako wa kike awe waiter (mhudumu) tunasema oooh kuna vinywaji sijui anavalishwa kimini skirt hatutaki wenyewe, wanaokuwa hawana miiko nayo wanazichukua wanatumia fursa huku tunasema sisi ooh Wazanziibari hatupewi. Jamani ajira zipo na zinapatikana lakini baadhi ya ajira sisi wenyewe tunazichagua.”
Hayo yamesemwa na Mwakilishi wa Jimbo la Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026.
Nowadays if a player's agent sneezed, Fabrizio Romano will be there😭
How i miss the days when Wenger walked into press Conference with Spurs captain Sol Campbell & shocked journalists
Wayne Rooney alipoulizwa kuhusu mchezo wa Ureno dhidi ya DR Congo:
"Bruno wala Bernardo hawakumtengenezea Cristiano hata nafasi moja ya wazi ya kufunga katika mechi nzima. Isitoshe, hata wao wenyewe hawakufunga."
"Sielewi kwa nini watu wanataka Ronaldo akae benchi wakati hata hapati mipira ya kumuwezesha kufunga."
"Bruno alitarajiwa kuwa mchezaji bora wa Ureno katika Kombe hili la Dunia, hata akitajwa kuwa mmoja wa wanaowania Tuzo ya Golden Ball. Lakini alifanya nini hasa katika mechi hii? Kwa nini vyombo vya habari havimkosoi kwa viwango vilevile vinavyomkosoa Ronaldo?"
Tukumbushane tu, KUNGURU hata umjengee banda zuri vipi, umuwekee na mtama na maji , uweke na uzio kumlinda, Bado hatokuwa NJIWA,.. Ataacha vyote hivyo akatafute mizoga💔🙌...
Ndoa ya 70 hii anaomba tena taraka , kesho Boya mwingine anajitwika,. samaki wa urembo haliwi bro,.. 😂🤝.
🚨 Marc Cucurella: “The transfer to Real Madrid happened very fast. It took 36 hours. I was so happy!”.
“They called me in the morning and told me that the clubs had talked about everything, that if I wanted to go there. I had no doubt, it was a big step for my career”. 🫱🏻🫲🏼
🗣️ Samuel Eto'o: "Barcelona'da oynarken Pep Guardiola bana santrafor oynamayı ve nasıl hareket etmem gerektiğini öğretmeye çalışıyordu. Bir gün idmanı durdurdu ve tahtanın başına geçip bana taktik vermeye kalktı.
Ona döndüm ve 'Pep, sen hayatında bir kez bile forvet oynamadın. Ben bu pozisyonda dünyanın en iyisiyim, bana nasıl gol atacağımı öğretemezsin' diye bağırdım. Yüzüme baktı, tek kelime edemedi. Maç günü geldiğinde beni kanada çekti, Henry'yi merkeze koydu.
O gün anladım ki onun sisteminde egonuz ne kadar büyükse, sizi cezalandırma şekli de o kadar çiğ oluyor. Sezon sonu beni Inter'e takas ettirdi ama ertesi yıl Inter formasıyla onu Şampiyonlar Ligi'nden elediğimde yüzündeki o ifade her şeye değdi."
🚨 The rise of Myles Lewis-Skelly as a midfielder for Arsenal has seen Christian Nørgaard made available for transfer.
However, any return to Brøndby remains a long way off for the 32-year old.
The experienced midfielder is focused on making the most of his time at the Emirates and still has a contract running until 2027, with an option for a further year.
A move back to his boyhood club is viewed as a future possibility rather than an immediate plan. ⏳
(Source: Bold DK🇩🇰)
Katika uongozi wa sasa, viongozi wanaostahili kupewa kipaumbele na kuzingatiwa kwa karibu ni Mh. MTAKA (RC NJOMBE) na Mh. Ms. S. JUMAA (DED KILOLO) . Wameonyesha kiwango cha juu cha uwajibikaji, uwazi, na uwezo mkubwa wa kuhamasisha jamii kuelekea maendeleo 🤝.