Every time you see farmers queuing desperately for seeds in government depos
— just know:
• Our seed sovereignty has been colonized
• We have lost our traditional seed diversity
• We are staring at food insecurity
• He who feeds you controls you
#BetterTogether
Shina la mahindi unene wake sawa na tairi la pikipiki, Kilimo kina wenyewe, kilimo ni passion,ni obii.
Kabla hujaenda Shambani jiulize obi, passion yako ni kilimo.
@juju_capybara
#MpungaTips 🏏
Kama ndio unaanza/unafikiria kuingia katika Value Chain katika kilimo cha Mpunga anza na eneo moja muhimu sana kwako,
~Anza na kununua Mpunga weka Go down subiria bei nzuri uza Mpunga au Mchele kwa faida zaidi.
#MbaraliMbeya