@khallyed@Kidah_01 Hizi ndo sitakaa nitumie mimi,dawa gani hazina kipimo imagine unawekewa kwenye dumu la lita tatu au tano,expire date hakuna yani shida tupu
Tunajua kabisa Huna hatia Lakini sababu Wao wanaona ni sawa acha iwe wanavyoona..ila Mungu atafanya njia upande wenye haki utakaa upande wa kuume...usiku mwema Brave..
Serikali zenye watu wenye ubongo unaofanya kazi zinatakiwa kutumia akili ya (@MikaChavala) katika uzalishaji siyo kumpa mashtaka ya uongo ya uhaini ambayo haiwezekani kuyathibitisha. Wanaostahili kuwepo gerezani ni mafisadi wanaotajwa na CAG. Muacheni CHAVALA. #FreeMikeChavala
Wafuatao kwenye List Kila nikiona zile Video sina sababu yeyote ya kuEngage na nyie pia wala HAMJAJUTIA yaliyotokea,,, bora ni waUnfollow natumai na nyie mtafanya hivyo. Unafki siwezi #VitendoDhidiYaManeno#OG