@godbless_lema Mungu awainue awalinde na kuwapa amani wanaume na wanawake wanaoweka kazi, biashara, na maisha yao rehani kutetea haki.
Mungu awape kinachowastahili hapa hapa duniani wote walio upande wa kukandamiza haki.
@Likombe2@ChademaTz@jjmnyika Nawashangaa, anachokisema sasa ni script ya ACT tangu day one, sijui anajisikiliza mwenyewe? Si tulikubaliana hakuna uchaguzi hadi tupate katiba mpya? Haya yametoka wapi.
Viongozi mtupe mwelekeo maandamano nginja nginja hadi kieleweke
@ChademaTz@jjmnyika Mngepeleka hayo mnayosema sasa huko kikosi kazi. Na kuyapambania kwa nguvu pamoja na ACT, mkawaacha ACT peke yao mkaenda kufanya maridhiano ya siri. Then mnalalamika nini ?mlitegemea kikosi kasi cha CCM kiwape wapinzani vyoote mnavyotaka, CCM ipate sifuri? #katibampyanisasa
Chadema tuliamua kufaa sale za chama na kufanya matembez jimbo la mbagala kata ya mianzin,Shangwa tulilipata sio la Nchi hii. Dah kusema ukweli wananch wameichoka CCM. Wamesema uchaguz ujao ikitokea chama kikishirik uchaguz bila tume huru au katiba mpya,Wanaanza na familia zao
“Askari ana uhuru wa kukaguliwa, kwa sababu mara nyingine wanasema [watuhumiwa] bangi hii haikuwepo, ameingia nayo nimewekewa. Ili kuondosha mashaka hayo ya msingi, afisa wa polisi anasema naomba nikaguliwe ili mambo yakienda yatakayokutwa kule [mahakamani] asiwe na nafasi ya kuyakana kwamba mmeyaleta wenyewe.” – Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi, Dkt. Lazaro Mambosasa
What is happening in Loliondo is not unique, and the local communities have cause to fear for their land and livelihood. .#StopMaasaiEviction#ChangeTanzania https://t.co/zt17FebtIo
Alafu bila AIBU anagawa BANDARI zetu zote za TANGANYIKA kwa WAARABU wa DUBAI na kupandisha MISHAHARA ya WABUNGE mpaka kufikia million kumi na sita na laki tano. Yaani MSHAHARA wa mbunge pamoja na marupurupu yake sasa ni 16,500,000/= hii ni kila mwezi anapokea😭😭😭
#RudishaTotoAfyaKadi
Wizara ya Afya @wizara_afyatz , @nhiftz na Waziri @ummymwalimu wanasema HAWAJAONDOA #TotoAfyaKadi ; tuwaulize;
1. Malipo ya Toto Afya Kadi yameainishwa wapi? Kwa nini kipeperushi cha bei za BIMA hakina kifungu cha #TotoAfyaKadi?
2. Kama hamjaondoa #TotoAfyaKadi , kwa nini wanandoa wawili wanalipa 384,000 lakini wakiongeza mtoto mmoja inapanda mpaka 504,000? Kama hamjaondoa #TotoAfyaKadi iliyokuwa shilingi 50,400, hii nyongeza ya 120,000 inatoka wapi?
3. Tanzania kuna watoto chini ya miaka 6, ambao bado hawajaanza shule, zaidi ya milioni kumi, na kila mwaka wanazaliwa watoto zaidi ya milioni mbili. Hawa watoto wanalipia wapi 50,400 ili nao wapate #TotoAfyaKadi ?
4. Kama hamjaondoa #TotoAfyaKadi , watoto waliopo nje ya mfumo wa elimu wanalipia wapi hizo 50,400 ili nao wapate BIMA za afya kama wale wa mashuleni?
5. Kama hamjaondoa #TotoAfyaKadi , wazazi ambao hawana uwezo wa kujilipia BIMA wao lakini wanataka kuwalipia watoto wao wanne, wanalipia wapi hizo 50,400 times 4 ili watoto wao wapate #TotoAfyaKadi ?
6. Single mothers na single fathers ambao wana watoto ambao hawajaanza shule lakini wao wenyewe hawapo kwenye ndoa, wao wanalipia wapi #TotoAfyaKadi ?
6. Nina shilingi 1,008,000 (milioni moja na elfu nane), nataka kulipia watoto wangu ishirini ninaowalea ambao bado hawajafika umri wa kwenda shule. Nikalipie wapi #TotoAfyaKadi zao?????
#RudisheniTotoAfyaKadi , kucheza na afya za watu ni kucheza na uhai wa watu.
Kuna mahindi yanaota dakika 90 na kuvuna?
Jero unanunua pembejeo? mbolea? zana za kilimo? Wapi?
Pampu ndogo tu ni Sh. 1.2 milioni. Ardhi ipo wapi?
Akili ndogo hizi wamezitoa wizara ya kilimo wamezipeleka wizara ya madini.
Mkivaa suti na kutoa macho kwenye miwani mnaropoka tu
Kwamba #ClimateChange imesababisha kuwepo kwa Jua kali, ambalo limesababisha maji kukauka kwenye mabwawa ya kufua umeme, wakati huo huo hilo Jua kali linafaa kufua na kuzalisha umeme. Enewei Watanzania tumerogwa! #ChangeTanzania
Huu ni wizi wa wazi wazi kabisa, na hii barua imedhibitisha huu wizi
Gari la TANAPA na TAMISEMI wapi na wapi?
Nani mwenye mamlaka ya kuhamisha haya magari kinyeji hivi
TAMISEMI ina magari zaidi ya 2000 hakuna gari angeweza hazima , DED wana magari ya milion 400 yote hayo vipi
AFYA NI MUHIMU KULIKO VYOTE KWA MASIKINI NA TAJIRI
Natamani ningeweza kunyanyuka hapa kitandani na kufika chooni na bafuni Leo hii nisinge kubali kuzalilika hapa mtandaoni kwakuomba msaada, ni aibu lakini inabidi atakama ndugu, marafiki, watachoka na kukata tamaa nakuondoka,ila
Wakati mwingine NINALAZIMIKA kutumia njia hii, kwa sababu kwenye KESI za watu WANAOPOTEZWA au KUFIA MIKONONI MWA POLISI, mara nyingi HAKI imekuwa HAIONEKANI IKITENDEKA.