@JinoUkucha Ana Miaka 35, Ameichezea Timu Ya Taifa Mechi 137, Miongoni Mwa wafungaji Bora Wa Muda Wote Wa Timu Ya Taifa, Ulitaka Aitwe Afanye Nn Wakati Amesha Maliza
@danyobryan@mzee_mbuzi Waliocheza Weld Kapu Mbaka Sasa, Saliba, Big Gabby, Madueke,Rice,Trossard, Merino, Martenell,Hincapie,Kai, Saka, Ode, Gyokeres A Hao Ni watano Bro Au Huwa Unalala...ππ
@nuru_yumyum Niliishi Nae Huyu Jamaa Mtaa Mmoja Baada Ya Kuoa Na Akabarikiwa Kupata Mtoto Mmoja wa Kiume, Baada Ya Miaka Kama 10+ Hv Nimekuja Kumuona Tena Juzi Kati Maeneo Ya Ubungo
@nuru_yumyum Yes Alikuwa anavaa mavazi ya kike na anajiremba kabisa miaka ya nyuma sana akushawai kuwekwa hadi kwenye magaazeti kabla ya mitandao ya kijamii
@JMariotz Hata Raya Alivyopewa Tuzo Yake Ya Golikipa Bora Hakupiga Picha Na Timu Nzima Ila Omary Minjino Sasa Kaita Hata Wapishi Wapige Nao Pichaππ