@MariaSTsehai Kwenye ulimwengu waroho tumewashinda ndomana lissu Yuko hai mpakaleo huko kwenye ulimwengu wa roho wasijaribu Yuko yesu mwenyewe Bado kidogo kwenye ulimwengu wameili Nako tunawang'oa subili utaona shangazi watanganyika
@Sativa255@tanpol Mungu alikuludisha Kama alifyo mludisha lisu Ili misaidie Tanganyika iliyo uzwa na ccm mungu hakutaka kipawa hili kipotee anakilinda kwa wifi mkubwa wewe Kama mfalme daudi wewe ni sshujaa watanganyika tutashinda pamoja kamanda
@MariaSTsehai Huyu amui mungu waliachwa waombe msamaa wamekataa sasa sasa watajuta tarehe hiyo ningumu hao ni maraika saba wa Bwana sikuiyo watawaona Bwana atawapigania watu wake watajuta siku hiyo tuna mwamini mungu wawatanganyika tusubili tutafika hayo majeshi yata kukimbia sikuiyo twende ka
@HecheJohn@comanchechiefIV Hata kipindi kile tulikuwa tuna washauli kuwa Kama mnamtaka lisu au chama tuchague kimoja nyinyi nikutangaza mandamano au kifutwe chadema au ccm ifutwe lakini kulala Mika sio wakati wake huu wanachama wako tayali wananchi wako tayali na mungu Yuko tayali mnasubiriwa nyinyi kazi
@lifeofmshaba Wanaleta Nyerere kipindi hili nyeye alishindwa kuleta katiba akaipereka nchi kwa wachina na warudi kikowapi sasa tuitafute Tanganyika yeti iliyo potezwa na nyerere
@godbless_lema@robichacha96 Hili ni chama cha wananchi kile kingine ni ccm mapolisi wanajeshi uhamiaji magereza migambo na msajili wavyama wakopamoja wavute tupate pakuanzia tujuane tabia walikuwa hawawajui watanganyika
@MariaSTsehai@lifeofmshaba Chama chetu ambacho lisu ni mwenyekiti mbila kutangaza tarehe ya maandamano yabila kikomo mpaka lisu aachiwe Hawa mnyang,ou Hawa wenzi kumwanchia nikweli tupambane kumtaka lisu tukiwa tume nyamaza hawamwenzi kumwacha huru tupambane
@MariaSTsehai Tanganyika haijawai shindwa vita hata Moja Babu zetu walipigana vita ya majimaji mikuki kwa bunduki sio mara ya kwanza watanganyika kupigana vita ya maji na bunduki hata sikuiyo bila udanganyifu wa jeshi ccm watanganyika walishinda endeleeni kuwa na vibuli