''Tumewataarifu wenzetu wa Pwani na Lindi shughuli za baharini kwa maana ya uvuvi na nyinginezo ziepukwe kwa muda mpaka tuone mwenendo wa Kimbunga Jobo na taarifa zaidi kutoka TMA'' - Kanali Jimmy Matamwe, Mkurugenzi Idara ya Menejimenti ya Maafa, @TZWaziriMkuu#SupaBreakfast