Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m.
Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!!
Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!!
Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!!
Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hivi…
Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337..
Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tano… aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500.
Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodi…
Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi..
Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka.
Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi.
Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu imepangwa kuendelea katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2026.
Zimebaki siku nne tu— tujitokeze kwa wingi kupata darasa la sheria kutoka kwa Mhe. Lissu.
#FreeLissu
‼️🚨 NOVICE (NUN) WAS ABDUCTED AND TORTURED BY SAMIA SULUHU SECURITY FORCES‼️
#Tanzania
In his speech the Secretary General of the @tanzaniaepisco1 Father Kitima mentioned abductions, he mentioned a novice’s abuction
Last Saturday, the novice who is based in Mwanza was sweeping and went outside to throw the litter when she was abducted and disappeared for several days, tortured and sexually abused! They took degrading photos of her and threatened to release them if she spoke
What did they want? Access to Bishop Renatus Nkwande! They wanted to know how to reach him! When they finally released the novice after 5 days she was rushed to Bugando Hospital where the police tried to force a statement but she is critical condition
The novice is from the Benedictan order - the same order that is based in Rukwa and during campaign the sisters were forced to do a photo op with Suluhu and they were sharply rebuked for this!
This is how @SuluhuSamia is targeting Catholic clergy systemically
@OHCHR_EARO @UNHumanRights@AmnestyEARO@hrw@SFRCdems@SenateForeign@HouseForeign@FCDOHumanRights@StateDRL
Hivi ninyi mna akili sawa? Mnateka na kuumiza watawa sasa? Mnafikiri mtatisha kanisa katoliki hivi? Mnatia kinyaa! Mwanamke unajitapa eti we rais alafu utawala wako unasheheni ubakaji na ulawiti!
Sick people 🚮
Huyu mwanafunzi wa usista aliyemtaja Fr Kitima ni wa Mwanza na walimteka kwa sababu walitaka awaonyeshe Askofu Nkwande walipo wamdhuru! Yaani hawa watu ni MASHETANI!
Bila #D9 haya yataendelea na kuwa mbaya zaidi
Tuhakikishe #SamiaMustGo #D9Tunatoka
#TanzaniaMassacre