@ThomasJosephat3@623de4f5f8f048e Bro inakuaje , samahani aisee naweza kupata mawasiliano yako nataka nifanye jambo kwaajili ya Mzee maana ndo biashara yake
@babanabir@husseinabui@bajabiri hii nishawahi sikia lakini Sasa wakisema kuvuta kutapunguza maji na kuathiri vitu kama viumbe hai, Usafiri na utengenezaji wa mvua nachelewa kuelewa maana tuna Mto Nile ambao unatoa mamillioni ya Lita za maji hapo hapo ziwani kwa miaka yote tangu kipindi Cha farao na nabii Musa
@kinguselemani@SaweThomas@VodacomTanzania miyeyusho Hawa washaniharibia biashara nimeonekana mswahili haraf wanajileta dm kuomba radhi huku pesa za makato wanapita nazo wakirudisha muamala
@rafaleaotz@chefprincy Gari inatembea ila kwa mwendo mdogo , wakati video inaanza angalia usawa wa pua yake nadhani ni taa ambayo ipo mbele getini angalia namna inavyohama position
@iamsalumally Anamwambia mjuu ake "mwambie nnjomba unataka maji ya kunywa" nkasema mtumeeee nimeyatimba Leo , Oya mpaka nafika mtwara nimechoka hoi maana huko njiani yaliyoendelea daah
@iamsalumally Bibi yake hataki kufungua fundo la kanga atoe hela anunue chakula pia kumbuka hapo alimpachika kati yetu ni mwendo wa kujibana, mie tena na keherehere changu na kukataa kelele nikawaambia wale jamaa wanaopanda kuuza chips ampe ntalipa aisee alikula baada ya hapo nikamsikia bibi