@mshambuliaji@bajabiri Kukata rufaaa ni hakika yake,ila anakata rufaaa ili amuongoze nani???hauwezi lazimisha kuongeza watu wasiohitaji kuongozwa na wewe
@bajabiri Wewe na nani?
Huyo mzeee hastahili hata kuwa balozi,hauwezi ongoza watu wasiokupenda na pia Hana moral wala leadership ethics,kwa kifupi ni incompetent
@earadiofm Hauna akili,basi uchaguzi usifanyike,nyie ndo vijana mnaosababisha mkwamo wa hii nchi.ubaya ni kupata nafasi yakuzungumza hisia badala ya fact...empty mind
@KibwanaEdgar Hakuna mwanachama wa simba aliyechanganyikiwa,uwe unafanya analysis kwanza kabla haujaposti,haustahili kuwa mwanahabari siyo tu mchambuzi,sisi wenye simba yetu tunamjua mwenyekiti wetu,ila tu siyo huyo mwanayanga mwenzako mangungu anayetukana wanachama wa club ya simba,
@BracuszCadabra Inategemea na mgawanyo wa hisa na contractual agreement watakazo sign....ila simba ni moo na moo ni simba,endelea kupush agenda mwisho wa siku utaaibika
Kitu kimoja ninachokipenda sana kwa Simba ni jinsi wanavyomtanguliza Mungu katika kila jambo. Kabla ya mechi wanasali, na baada ya mechi wanamshukuru Mungu, bila kujali matokeo.
Bila Mungu sisi si chochote. Kila kipaji, uwezo na ushindi ni kwa mapenzi Yake. Allahu Akbar! ❤️🦁