Haya mambo matano ya @JideJaydee ukiyazingatia hufilisiki mjini😆😆
#mambomatano ni bonge moja la ngoma, fanya kuitafuta mjini YouTube utanielewa nachomaanisha..
@SimbaSCTanzania@ahmed__ally Mimi ni miongoni mwa mashabiki tuliokosa tiketi. Hebu fanyeni kitu pale uwanja wa Uhuru (shamba la bibi) mwaka wetu huu ngoja tuwaoneshe mpira unavyotakiwa kushabikiwa😊😊
🙏Dear God tutazame sisi wana msimbazi kwa jicho la tatu baba..
Hawa jamaa wakifunga leo waja wako tutaziweka wapi sura zetu!😊
God fanya kitu baba yule mayele asilione goli😊