Samia na Abdul wanafikiria watateka kila mtu mwenye maono tofauti nao
Sasa mbona watu sanaongezeka kila siku kukosoa ujinga wao
Bongo zozo anaongea vitu vimeonyooka sana na huyu ni mdau wa michezo
Kila wanapoteka wanaibuka watu wapi wengi
Mtu kama MASAJU anatakiwa kujibiwa kwenye UPUMBAVU wake.
Asante Makamu kwa kulisemea hili, lazima WAKOLONI WEUSI wakumbushwe hatupo zama za 90 kweusi.
REPOST 200
"We might be here when the mafias took the engines."
Bunyole West County MP James Waluswaka has questioned why a Uganda Airlines Boeing aircraft remains grounded at Entebbe International Airport without engines.
Waluswaka raised the concern during an oversight visit by Parliament’s Committee on Infrastructure to the Civil Aviation Authority, where legislators assessed developments in Uganda’s aviation sector.
#NTVNews
Mwanaharakati Godlisten Malisa ameibua mjadala kuhusu ukubwa wa kodi zinazotozwa kwenye magari yanayoingizwa nchini, akishangazwa na hali ya kodi kufikia au kuzidi bei ya gari lenyewe lilivyonunuliwa kutoka kwa mtengenezaji.
Malisa amesema haoni sababu ya mtu kununua gari kwa dola 2,000, sawa na takribani Sh milioni tano, kisha anapokamilisha taratibu za kuliingiza nchini akatakiwa kulipa kodi ya Sh milioni tisa.
Amesema suala hilo si la kulaumu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kuwa watumishi wake wanatekeleza sheria zilizotungwa na Bunge, hivyo mjadala unapaswa kuelekezwa kwa watunga sheria na mamlaka zinazounda sera za kodi.
Amehoji mantiki ya Serikali kutoza kodi kubwa kiasi hicho wakati mtengenezaji wa gari ndiye aliyebeba gharama za kulibuni, kulitengeneza na kulikamilisha kwa vifaa vyote vinavyolifanya liweze kutembea, lakini anauza kwa bei ndogo kuliko kodi inayotozwa.
Malisa amesema hata gari lenye thamani ya Sh milioni 20 kwa gharama za ununuzi na usafirishaji hadi bandarini (CIF), linaweza kukabiliwa na kodi ya Sh milioni 25 au 30, hali anayoiona kuwa mzigo mkubwa kwa wananchi wanaotaka kumiliki vyombo vya usafiri.
Ametoa mfano wa Rwanda, akisema licha ya kutokuwa na bandari, nchi hiyo inaonekana kuwa na unafuu wa kodi za magari, jambo linalowezesha wananchi kumiliki magari ya aina mbalimbali yakiwemo BMW, Mercedes-Benz, Volvo na Peugeot. Amesema Tanzania inapaswa kutathmini upya mfumo wake wa kodi ili kupanua wigo wa umiliki wa magari.
Katika maoni yake aliyoyachapisha kwenye mtandao wa X, Jumamosi, Novemba 14, 2026, Malisa ameshauri Serikali kuangalia vyanzo vingine vya mapato badala ya kutegemea kodi kubwa za uingizaji magari, akieleza kuwa magari yanapotumika wananchi huendelea kuchangia mapato kupitia ununuzi wa mafuta, vipuri na huduma nyingine zinazohusiana na usafiri.
SO SAD! 😞 Mississippi Man Cedric Garrett 40, goes live on fb after he unalived 🔫 his wife Val-Tricia Garrett, known by many as Ms Val 53. He then drove around with her body in the car… pulled up to his mother’s place of work and unalived 🔫 himself.
UPEKEE WA TUNDU LISSU:
Tundu Lissu ndiye mtu PEKEE DUNIANI ambaye wakati ANAHUKUMIWA, mtandao wa INTANENTI, ULIZIMWA kwa kuhofia NGUVU na USHAWISHI alionao kwa WATANZANIA WENGI.
Mahakama ya Rufani ya Tanzania IMESEMA 👇 kwamba kwa KOSA lenye ADHABU ya KIFUNGO au FAINI, mtu AHUKUMIWE kulipa FAINI, akishindwa, ndiyo AFUNGWE. Mtu yeyote mwenye ELIMU YA SHERIA, lazima AJUE hiyo kanuni. Ni VILAZA pekee ndiyo HAWAJUI.