SALA KATIKA HATARI
Ee Mungu kwa jina lako unisalimishe
Kwa nguvu yako unifanyie haki
Ee Mungu,usikie sala yangu
Uyasikilize maneno ya kinywa changu
kwa Maana wageni wamenishambulia
Watu wakatili wanaitafuta nafsi yangu
Zab:54:3-5
#BringBackTitoMagoti
Jeshi la polisi @tanpol mnataka kujitenga na kadhia hii ya watanzania kutekwa na kupotezwa kwenye ardhi yao? tunaomba huyu mpambe, kijana wa UVCCM, anaitwa "OMARY" yupo Chato, ni Mwalimu, ashikiliwe na polisi kwa mahojiano. Amewahi kusema @TitoMagoti ndie anaefuata orodhani!
@BUJO1@Msumari9 Namshauri @Msumari9 aendelee tu kula hela za hao madogo kama wanaendelea kumletea coz wanaleta upuuzi wa @Facebook huku tweeter. Mambo za kutafuta wachumba wapeleke huko fb. Tweeter tunataka issues. @Msumari9 kula vihela vyao Hadi wapate akili.
#Habari:Serikali imeombwa kuwanusuru watanzania wanane wanaoshikiliwa nchini Uganda ambao walikamatwa na kikosi cha doria ambacho kinachofanya doria ndani ya ziwa Victoria baada ya kuwatuhumu kuwa wamevuka mpaka na kuvua samaki katika eneo la mpaka wa Tanzania na Uganda