@Makaveli_255 Ni kama mtu anunue gari la spidi 300 kwenye dashboard alipeleke kilindi vijijini alafu apige simu kulalamika kwanini ameuziwa gari la speed hio wakati barabara ya kilindi mbovu, hutembei zaidi ya spidi 80. Wajibu wa mteja vs muuzaji
@Barongo01 1. Rwanda imekataa kuwapa wafanya biashara wa US uwezo wa kuuza nguo za mitumba rwanda
2. US wamekataa kuipa Rwanda nafasi ya ku access soko la US bila kutozwa ushuru wa forodha ( bidhaa 1,800)
Kila nchi ina haki ya kupigania ugali wake
Ishu kubwa apo ni labda usaliti wa EAC
@ben_59 I think people are still struggling to understand arteta's "no risk/ control the margins" philosophy. Arteta is not mourinho, is not any coach of the past, he is a new legend in the making.