@fumbokhanJr Video zinaonyesha mashabiki wa simba ndio wanavunja viti na kurusha ww unasema police wanasema warabu hao police na ww ndani mkaeleze viti viliwakosea nn ila mashabiki wa simba hapo wameshinda wana ng,oa viti wangefungwa si wangechoma uwanja @fumbokhanJr ππππππππ