SIRI ILIYOJIFICHA KUHUSU TABIA ZA WATEJA!!
Hizi hapa ni sababu nne zinazopelekea mteja kununua au kuto nunua bidhaa fulani au kwa mfanya biashara fulani.
REPOST Wengi wajue hii siri.
Kwa wanaotaka kuuza zaidi👇👇
@Eric__Bernard Kuna wale traffic wanakaaga kwenye mataa mida ya saa kumi na moja kasoro asubuhi kabla hapajapambazuka vizuri kuvizia wanaovuka na taa nyekundu. ukijichanganya tu, baaaaasiii😅😂😂
#JesusChrist was sent to save humanity from ignorance & oppression & to guide them to the light of knowledge, justice & servitude to God. He never paused in his fight against evil & in invitation to goodness. This is a lesson for Christians & Muslims believing in his prophethood.
@CRDBBankPlc nimefanya muamala wa kutoa pesa, muamala umefeli, umerudishwa kwangu lakini makato ya muamala yamekatwa
Nikifanya miamala 10 yote ikifeli mnakuwa mmekata makato kwenye miamala 10 na kila muamala makato 10,000+
Pesa inatafutwa kwa tabu sana wakuu, msifanye hivyo😅
Ukiona mtu ametoboa kwenye haya maisha na hayupo kwenye ajira rasmi wala hajatoka kwenye familia ya kishua, huyo mtu apewe heshima yake.
Mikuki ni mingi sana kwenye shughuli binafsi!!
Ukiona mtu ametoboa kwenye haya maisha na hayupo kwenye ajira rasmi wala hajatoka kwenye familia ya kishua, huyo mtu apewe heshima yake.
Mikuki ni mingi sana kwenye shughuli binafsi!!
Ukipost sehemu uliyopo hakikisha ushaondoka hapo
Ukipost screenshot ya trades zako hakikisha usha take-profits
Ukipost pesa zako hakikisha ushazi deposit bank
Ukipost shamba lako hakikisha tayari umeshavuna
Fanya vitu vyako kwa machale—huku nje watu wana roho za kis* mno
USA ina ukubwa mara 10 ya TZ
USA ina watu mil 340, TZ tupo mil 67
USA in GDP ya $25 trillion, TZ tuna GDP $80 Billion
Sasa inakuwaje;
USA ina wizara 18; TZ kuna wizara 23
USA ina sanators 100; TZ kuna wabunge 393
USA ina governors 50; TZ kuna ma-DC 180+
Michezo ya TOWN🤔
Ukiweza Kuuza KNOWLEDGE Bongo Kwa Njia ya eBooks, Vitabu, Courses, Masterclass, Workshops & Coaching—Basi Jua Kwamba Wewe Unajua Kuuza Hasa
Hakuna Soko Kubwa Bongo Kama Soko la MAARIFA!