Hii ni kauli muhimu sana, imethibitisha yale ambayo tumeyasema kwa miaka yote.
Leo kiongozi wa juu wa ccm ametibitishia Watanzania na Dunia kwamba . Kwa wale waliokua wanafikiri tunasema uongo au tunawazushia.. polisi, usalama wa Taifa na jeshi la wananchi wamsikilize bwana Chacha.
Vyombo vya ulinzi na usalama ni mali ya ccm na hao viongozi wa vyombo hivyo ni wanachama na makada wa ccm.
Maswali muhimu ya kujiuliza, je vyombo vya ccm, polisi, usalama wa Taifa na JWTZ kama alivyosema bwana Chacha vinaweza kutendea haki wapinzani wa ccm?
Je ni halali kwa Watanzania mamilioni kulipa kodi ambazo zinatumika kuhudumia vyombo vya dola ambavyo ni vya ccm?
Chama chetu kitasema kwa undani kuhusu jambo hili na kutoa msimamo kamili, kwasasa tuelewe.
1. No reforms no Election ilikua muhimu sana ili kubadili hali ya vyombo hivi kuwa mali ya chama kimoja katika Nchi ya vyama vingi..
2. Kesi ya Mwenyekiti wetu ni ya uongo amebambikiziwa na vyombo vya ccm kwasababu ya kulinda chama chao dhidi ya ushindani wa kweli kutoka kwake na chama anachokiongoza.
3. Katika mazingira haya aliyoyasema Chacha haitawezekana kwa Mwenyekiti wetu kutendewa haki, kwasababu hivi vyombo vya ccm haviwezi kumtendea haki mwanachadema..
4.Tuhuma za kuua watu, kuteka, kupoteza zinazofanywa na vyombo vya dola ni kwaajili ya kuisaidia ccm kujitangaza washindi kwa njia ambazo sio halali.
5. Wanachama wa ccm hawafiki hata milioni 5 Nchi hii. Watanzania wako milioni 60, kwanini vyombo vya watu milioni tano vilipwe na kuhudumiwa na Watanzania wote kwa maslahi ya watu million 5.
Lazima tupate katiba mpya sasa.
Nyerere wakati anatukomboa kutoka kwa WAKOLONI kichwani mwake alikuwa na picha ya watanzania ni kama kikundi cha watu buku tuu.
Ndiomaana hata KATIBA ya mwaka 77 iliandikwa na wazee 20 tuu kuongoza hicho kikundi cha watanzania.
Akaja kuharibu akawaaminisha WATU wake kuwa CHAMA ni cha muhimu zaidi kuliko nchi. Ndiomaana leo ukiwaambia habari za kubadilisha KATIBA wanakuona wewe ni MUHAINI ili kulinda Fikra za NYERERE.
Leo tunateseka hivi kwasababu ya "AKILI NDOGO" YA NYERERE.
Bora tungebaki chini ya UKOLONI WA WATU WEUPE kuliko haya mashetani WAKOLONI WEUSI.
Nyerere ulitukosea sana KAMA TAIFA.
Huyu mwamba anamaswali mazito hata msikilizaji ukijiuliza lazima uone kama raia kuna sehemu umezembea
Nilisha wahi kusema huyu ndio mwandishi bora sasa @ThatBoyKhalifax
Sahizi kuna mtu anashida ya 5M na mwingine anashida ya 10k, kinachonishangaza ni kwamba huyu wa 5m ana high chance ya kuipata kuliko huyu wa 10k.๐๐