@Inkoskaz47@MabalaMakengeza@TheChanzo Back in 2016 hadi wabakaji walikua wanajificha kwenye mahindi Hao polisi sio wengi hivyo kama maeneo yanayolimwa mahindi
@_edy03@Hojaplaza1@ommysheby@MarekaMalili Na ndo shida iko hapo China transaction wechat wanakata kidogo sana almost zero yaan mtu huoni kama umepoteza ila ni wanakusanya hela Maana miamala inakua mingi kwa Idadi yetu hii ndogo wangeanza kidogo kidogo tusingeumia ubaya wenzetu Macho yako 2025 yao yaende basi