*JESHI LA POLISI ICHUNGUZENI KAMPUNI YA SIMZI LIMITED INAFANYA MAMBO YA AJABU*
*Ameandika Mfanyakazi wa Simzi Limited*
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni ya Simzi Ltd ya mikocheni Dar es salaam, napenda kuiomba Serikali yangu tukufu kupitia Jeshi letu la Polisi kuichunguza kampuni ya Ukodishaji magari ya *Simzi Limited* hasa kwa mambo yanayofanyika ndani ya kampuni hii.
Kwa muda mrefu sisi wafanyakazi wa makao makuu ya kampuni hii tumekua tukishuhudia mambo yasiyo ya kawaida yakifanywa na Wamiliki wa hii kampuni kupitia biashara ya ukodishaji magari.
Nakumbuka Januari 13 mwa mwaka huu niliona moja ya magari ya kampuni hii ikishusha Pembe za Ndovu na vichwa vya swala ambazo nilijiuliza walivitoa wapi na kwanini walikua navyo wao, ili hali najua Leseni ya biashara yao ni usafirishaji wa ukodishaji magari.
_April 20 mwaka huu kwa macho yangu kampuni hii ya SIMZI LIMITED nilishuhudia ikishusha Mabegi mengi yaliyosheheni vitu vizito nilipochunguza nikagundua walikua wanashusha Shehena ya Dola za Kimarekani ambazo kwa sasa nchi nzima haipatikani._
Kilichonishangaza zaidi Juzi Jumatano Agosti 23 kwenye Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA), walishiriki kupokea mizigo ya Tundu Lissu wakati amewasili nchini akitokea Ujerumani, najiuliza ni mizigo gani ile ambayo Lissu amekuja nayo na Kampuni hii ya Simzi Limited imekubali kuibeba kwenye magari yake.
*Jeshi letu la Polisi naliomba sana muifanyie uchunguzi hii kampuni ya Simzi Limited ili kujua nani yuko nyuma ya hii kampuni.*
@mshambuliaji Chawa Hana hoja anafikiria na tundu la haja kubwa kitenge ni zumbukuku Hana uelewa wowote kuhusu intergovernmental agreement huyu nikilaza kama vilaza wengine tu kama anabisha apost matokeo yake mtu alipata four a nakuja kuongea nini ww soma magazeti wasafi
@AbroadTanzania Hili swala halitaji uwe na elimu kubwa hili swala la bandari ni mpumbavu tu ndio hata elewa nape January nchemba warudishe hela zawatu na mama arudishe hela ya five star hotel tutawaondoa 2025 hakuna mjinga sasa
@Sisimizi3 Akili iliyotawaliwa na umaskini haiwezi kujitawalahuongea ikwa haiko huru ikimsikiliza anayempa chakula kumsikiliza hando nkupoteza nguvu yakufanya mambo ya msingi je tusikilze mkataba au tusikilize mtu au watu wanaobadilika kila siku
@frankjoshuatz Ninamashaka na ufikiri wa akili zako kijana mdogo bandari kuuzwa kwake sio mpaka uambie imeuzwa bali mkataba ndio unaozihilisha tumuamini nani mkataba au raisi wa kuaminika mkataba unatakiwa ujitetee
CCM NICHAMA CHAWATU WASIKUWA NA MITAZAMO CHANYA KWENYE TAIFA HAWANA MAONO HAWANASOLUTION YA KUENDESHA TAIFA HILI KUFIKIA KWENYE UCHUMI MKUBWA NI WATU AMBAO HAWAWASIKILIZI WANANCHI ILA WAO TUKOKWENYE UBEBERU NA UTAWALA WAWAPUMBAVU HUKU WANANCHI WAKIJIONA NI HURU KUMBE TUMEFICHW
@zittokabwe Nina mashaka sana nafikra zako na mitazamo ya sasa sikuzani kamasiku ungeweza kusema bandari ili uuzwe la ihamishwe from space ilipo je kiwanja kikiuzwa kinabaki kilipo serikali ingeingia kwenye services contract na ma expert wa bandari halafu wange wafundisha wabongo jinsi
Zilizonifikia ni kuwa Sandaland ndiye atakuwa mzalishaji mpya na msambazaji wa jezi za simba msimu ujao na tayari alikuwa China akifyatua uzi wa mnyama.
Ngoja tuzisubiri