Wapwa kama kawaida kwanini connection ya mtoto wa mchungaji ikupite?
Nimeweka connection zake zote kwenye comment hapo
Kama bado hujaziona shuka nazo πππΎ
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Kiula Kingu, amesema matengenezo katika Mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Chini yatakamilika leo Machi 7, 2024 na kumaliza tatizo la Maji lililodumu kwa Saa 36 katika baadhi ya maeneo ya Dar na Pwani
Kingu amesema uharibifu wa Mazingira katika chanzo cha Mto Ruvu ulisababisha kujaa kwa Matope kwenye sehemu ya kuchujia na ndio sababu DAWASA iliomba Saa 36 ili kuondoa matope katika Machujio ya Maji ili yakiingia kwenye Mabomba yawe ya kujitosheleza na yenye ubora
Soma https://t.co/ShVlJPS4Af
#JamiiForums #JFHuduma #Governance #ServiceDelivery #Accountability
#KIPENGAXTRA: ''Timu kubwa Simba na Yanga tumejiwekea wakati wa sisi ndiyo tunastahiki kushinda kila mechi, kitu ambacho kwenye mpira siyo kweli, Moja kati ya mechi ambayo tulipaswa kufungwa ni jana. Tanzania prison walikuwa bora'' - Mjata via Kipenga Xtra
#EastAfricaRadio #EastAfricaTv #HainaKuchoka #Michezo #Simba #Yanga