Ukiona mtu ni tajiri anahela anasaidia watu sana na watoto ujue huyo ni jambazi au ana biashara haramu. Lakini ukiona tajiri ni bahili ujue huyo pesa yake ni halali na ya moto 😂😂🙌🙌
BIASHARA MBOVU UKIINGIA KICHWA KICHWA.
1. Biashara ya Vipodozi/urembo
2. Biashara ya Nguo
3. Biashara ya Chakula
4. Biashara ya matunda
5. Biashara ya MBAO.
6. HARDWARE.
Japo ni biashara zenye mzunguko mzuri ila ukiingia bila AKILI utalala msomo WAZI