BALOZI NCHIMBI ABORESHA TAARIFA ZAKE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura kilichopo katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, Mtaa wa Kilimani, jijini Dodoma, kwa ajili ya kuboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, leo tarehe 20 Mei, 2025.
SIMBA SC | “…Sisi tuna amini bado tunayo nafasi kubwa yakuleta mabadiliko hasa tukiwa nyumbani….”
Mtendaji Mkuu (CEO) wa Simba SC, Zubeda Sakuru akielezea baada ya kumalizika kwa mchezo wa jana wamkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika waliocheza dhidi ya RS Berkana na kupoteza kwa idadi ya magoli (2-0).
Sakuru amesema kwasasa mpango wao ni kujiandaa na mchezo wa mkondo wa pili na kuhakikisha kombe wanalibakiza nchini.
Leo ni Yanga vs JKT Tanzania, nusu fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
Imeandikwa na @jairomtitu3
#CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika #SimbaSC
𝐑𝐄𝐕𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃. 🚨👀
A high-powered delegation of over 300 people from Europe and beyond have booked their flights and made hotel reservations to fly to Dar es Salaam to attend the 2nd leg of the 2024/25 Confederation Cup final between Simba SC and RS Berkane at the Benjamin Mkapa Stadium.
These are people who decided to go for the game because of their love for Simba SC and President Mo Dewji.
Mo Dewji is very disappointed. ☹️
#nguvumoja 🦁
#cafccwithmicky
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa Msuya enzi za uhai wake alianzisha ujenzi wa kituo cha afya hivyo amewataka Wakazi wa Mwanga kuchangia ujenzi wa kituo hicho na ameahidi kuwa yeye Rais Samia pia atachangia ujenzi huo.
Akiongea wakati wa Ibada ya mazishi ya Mzee Msuya Mkoani Kilimanjaro leo May 13,2025, Rais Samia amesema “Katika kuangalia aliyoyafanya Mzee Msuya kuna kijiji hapa alianzisha ujenzi wa kituo cha afya na akawataka Wananchi wa Mwanga wote kwa pamoja kukusanya nguvu kujenga kile kituo, wito wangu kwenu tumalize kile kituo, wote tuchangie na Mimi nitachangia, tumalize kile kituo na tukipe jina lake hiyo ndio kumuenzi Mzee wetu”
#MillardAyoUPDATES
WANA SIMBA TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA
✍️ Reply handle yako hapa
✍️ Like handle zilizowekwa na watu
✍️ Mtu aki like handle yako mfollow
✍️ Mtu akikufollow follow back #UbayaUbwela#NguvuMoja
“Kukatika kwa umeme katika nchi yetu kwa taarifa ya EWURA iliyofanyiwa utafiti, imepungua kwa asilimia 48, na dakika za kukatika umeme zimepungua kwa asilimia 64. Tulikotoka hali ilikuwa mbaya kuliko tulivyo hivi sasa.” – Dkt. Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Alikuta timu haina muunganiko mzuri, akakuta wachezaji wengi ni wapya lakini bado ametufikisha Fainali ya CAF. Respect sana kwa fundi wa Soka, Maestro Don Fadlu Davids. Retweet mpaka imfikie huko alipo Durban Afrika kusini.