#BREAKING: Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema hadi kufikia leo saa kumi jioni idadi ya vifo kutokana na mafuriko Wilayani Hanang imeongezeka na kufikia Watu 47 huku waliojeruhiwa wakifikia 85 na wengine wakihofiwa kufukiwa na tope baada ya nyumba zao kusombwa na mafuriko na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha Wilayani humo.
RC Sendiga amesema eneo kubwa lililoathiriwa na mafuriko hayo ni kata ya Gendabi na katikati ya Mji wa Katesh ambayo ni Makao Makuu ya Wilaya ya Hanang ambako nyumba za Watu zimezingirwa na mafuriko na miti iliyosombwa na mafuriko kutoka sehemu ya Mlima Hanang kulikosababisha barabara ya Katesh kwenda Singida katika eneo la Mjini Katesh kushindwa kupitika kwa muda.
@AyoTV_ na https://t.co/dafsvQh5sZ zipo eneo la tukio kukuletea updates zote kutoka hapa Hanang.
Dear reader… I don’t really know you. Neither your challenges🥹. But I pray that Allah ease your worries, increase you in eeman & ikhlaas. Put barakah in your income. Bless you with a righteous family & peace of mind. Ameen🤲❤️