Nilitamani kuingiza 1M kwa mwezi tangu mwaka huu umeanza lakini mpaka sasa sioni dalili kufikia hilo lengo kwa mwaka huu.
Ila Ndoto haifi tunazidi kuipambania mpaka ifike.
@Sirjeff_D Hii yote ni kwasababu ya Capitalism isiyo na mipaka. Kushindwa kutengeneza mifumo ya kugawana rizki kwa wote. Kuruhusu Cooperates na business moguls wawe na nguvu kuliko serikali lazima ilete monopoly. Utajiri sio akili ni kuwepo Kwenye mkondo. Dio maana pesa inaitwa currency.
@Sirjeff_D ππHanscana alisema Fedha halali ngumu sana kwa umri niliofikia.
Wazungu wanasema "Big money doesn't come clean and clean money doesn't come big"
Niambie IQ yangu ngapi?
Kuna siri fulani kuhusu UTAJIRI ambao hua hausemwi kbs
Mara nyingi, ukijifanya kuwa mwema na mwadilifu kupita kiasi, utachelewa sana kufanikiwa kifedha
Matajiri wengi hupindisha sheria, hucheza michezo mirafu, mbaya zaidi hiyo michezo michafu, common mwananchi kamwe hutaijua
Umefika wakati kwa JWTZ kupanua ushirikiano wa kiusalama kwa kuanzisha uwepo wa kambi kubwa za kijeshi ndani ya Burundi na DRC kupitia makubaliano rasmi kati ya nchi na nchi.
Makambi hayo yawe na uwezo kamili wa operesheni za ardhini na angani ili kuimarisha amani, kulinda maslahi ya kiuchumi, kisiasa, na kuzuia migogoro isivyoepukika.
Tanzania tuna wajibu wa kujenga uwezo, nguvu na ushawishi kwenye ukanda wetu ili kulinda maslahi yetu, ya kikanda na βku-projectβ power.
Mantiki ni rahisi tu, ushawishi wa kimkakati unalinda maslahi ya muda mrefu bila kufanya ionekane kuwa ni uvamizi.
Mliwauliza βWHO ARE YOU?β Hata week moja haijaisha mmeanza kujiandikisha vimemo vya kujitilisha HURUMA.
Mnawapa vichwa WAHENGA kutuaminisha βMASKINI HANA KIAPOβ.