Samsung Note 20 Ultra
128GB|Ram 8GB
Black Color
Tsh 480,000/= tzs
NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Free Charge, Cover & Protector 📖
Exchange & Top up allowed
📞/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST 🌺🌷💕
@Ljcom2033@ze_papiry M la 2018 ndo nliangalia na akili timamu ko mpaka now nna nna 2018,2022 na 2026 japo 2014 nliangalia ile ndo ile ngoj nam niangalir ila nlkuwa sielewielewi
@Ayodimejitz Hizo unaoma kama drums ila kazi yake ina connect na mtandao mwingne kupitia electromagnetic waves ko kazi yake ni ku connect mnara mmja na mwingne kwa maan vile zile drums ndogo.zina connect minara iliyo karib na zile drum kubwa zinaconnect minara iliyo mbali
Kwa muujibu wa Sheria ya Uchakataji Mbususu ya Mwaka 1976, Iliyo fanyiwa marekebisho Mwaka 2025 ,kifungu kidogo Namba 2 na Kifungu kidogo A na B kina kubana kijana kuchakata Mbususu Peku.
Ambapo Sheria Hii inamtaka kijana anapotaka kuchakata Mbususu kuvaa condom mwenyewe Bila usimamizi ,Aidha Kupitia Sheria Hii ,Mahakama ya rufaa Jijini New York City 🏙️ Marekani Imesema vijana wote Wanao chakata Peku watafikishwa Mahakamani kusomewa tuhuma zinazo wakabili na Haraka watatuwa Katika gereza la Guantanamo.
Aidha Rais wa Marekani Donald Trümp Kwa kushirikiana na Waziri mkuu wa Israel Bénjamin Netanyahu ,wamesisitiza Swala hili litiliwe mkazo na watuhumiwa wote wasweke Ndani.
Hii ya Friends With Benefits Wenzangu huwa Mnafanyaje Fanyaje mpaka wanakubali..,mie kila nikijaribu naambulia Block,Matusi na Urafiki Wenyewe unakufa muda huo huo Aise 😂😀😀
Mkuu wa Utumishi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Marco Gaguti amefunga rasmi zoezi la Medani la EX- MALIZA lililofanywa na Kuruti wa Kundi la 44/25 katika eneo la Msata tarehe 16 Januari 2026.
Akizungumza baada ya kukamilika kwa zoezi hilo, Meja Jenerali Gaguti amewataka Kuruti hao wanaotarajia kuhitimu mafunzo ya awali ya kijeshi hivi karibuni kuwa waadilifu, kujituma na kuwa watiifu kwa Nchi yao.
Kuruti walioshiriki zoezi, wametakiwa kuzingatia mafunzo ya nadharia na vitendo kama shambulio la kunuia, shambulio la kushtukiza na somo la doria huku akionyesha wazi kuwa zoezi limefanikiwa dhamira ya Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania ni kuona kuruti wote wanahitimu na kwenda katika maeneo mbalimbali watakayopangiwa kushiriki kulilinda taifa.
Meja Jenerali Gaguti aliongeza kuwa Mafunzo na Mazoezi mbalimbali ya medani ndio msingi wa JWTZ kwani Jeshi imara linatokana na uwepo wa mazoezi ya medani.
Kuruti wanaotarajiwa kuhitimu kozi ya mafunzo ya awali wamesisitizwa kuzingatia mambo makuu manne kwa mwanajeshi ambayo ni Nidhamu nzuri, Uhodari, Utii na Uaminifu ambayo yamewajenga wanajeshi na kutekeleza majukumu kwa weledi.
Naye, Mkuu wa Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi RTS Kihangaiko Brigedia Jenerali Sijaona Michael Myalla amesema kuwa wanafunzi wa kozi ya mafunzo ya awali wameonyesha uwezo wa kukabiliana na adui kwa kulifanya zoezi kuwa na mafanikio makubwa.
Brigedia Jenerali Myalla amesema kuwa zoezi limewajenga kuruti kuwa na uzalendo, kudumisha mahusiano na raia, kuwajengea uwezo wa kufanya operesheni katika mazingira yoyote ndani na nje ya nchi.
Kuruti wamejengewa ujasiri na kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi katika mazingira ya medani.
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linaendelea kufanikisha kufanyika mazoezi mbalimbali ya medani kwa Kozi za Mafunzo ya Awali katika Shule ya Mafunzo ya Awali ya Kijeshi RTS Kihangaiko ili kuwajengea uwezo askari wapya, namna ya kuilinda nchi ya Tanzania kwa kushirikiana na Wananchi.
#MillardAyoUPDATES