@YcuL___ Ndio walipo fikia kwa sasa hakuna kitu kipya wanaweza fanya sio kazi ,sio kuigiza sasa mchongo ni mmja arudi pale apate chochote kitu mazingira yatumike nq chinga dhaifu kwenye Maini
@jwise017 Ukianza kwa kutochangisha watu ukaanda jambo lako basi unaweza kupanga kila kitu na creative inakuwa kubw ila kwa michango ya watu basi kubali kwenda na scenario za mazoea tu