Maisha ni mtiririko wa matatizo yasiyoisha. Tatizo moja likiisha, Tatizo jingine lafuata. Usiombe maisha bila matatizo bali omba yaje matatizounayoweza kuyashinda na yatakayo badili maisha yako.
Good night 🙃
Mtangazaji aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia stesheni ya Wasafi Fm kipindi cha Mashamsham. Khadija Isihaka Shaibu maarufu kama “Dida” amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Muhimbili.
Kijana wa Tandale aliyeuza Pete ya mama yake ili apate nafasi ya kurekodi studio. Akaanza muziki ili apate Pesa amsaidie mama yake ila jitihada na kipaji vikamfikisha mbali. Miongoni mwa wasanii wa Afrika wenye stesheni ya Redio na TV, Diamond Platnumz ametimiza Miaka 35 leo.