An independent activist, I fight to free my country in darkness. All of our associations, let us educate each other, let us remind each other of our roles.
Hello @EUinTZ@usembassytz@UKinTanzania the government of @DrHmwinyi won't treat sick people/tourists that are not Zanzibaris. That includes Tanzanians from the mainland. Let your citizens know that if they become sick in Zanzibar, they will suffer to death. Boycott Zanzibar!!
Hakikisha UNAISHINDA NJAA utakuwa huru kweli kweli.
GenZ tunao uwanja mpana wa kupambana na NJAA hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Ukiweza ITUMIE vyema hakikisha unaishinda NJAA uwe huru.
HAKUNA TAKATAKA ATAKUPELEKESHA CHINI YA JUA.
Watanzania hakuna movement ya maana tutaweza kufanya kupitia X. Ni lazma tuzipate accounts za instagram.
Ukombozi uko instagram na tiktok, huku X ni kwa ajili ya ku-communicate na dunia Ila hakuna connection na wananchi inaweza kufanyika kupitia X.
@tausilikokola@Liberatus80 Lazma tupush tupate senate intervention or hearing juu ya meta. Bila kupata platform ya instagram tutaishia kupiga midomo ila mobilization ya wananchi hakuna. Na CCM wanachoogopa ni wananchi kudai haki sio wana harakati kupiga kelele ambazo hazina effect kwa wananchi.
Sasa hivi what we need is kuamsha wananchi wawe focused kama kipindi cha uchaguzi. Tukimix mobilization ya wananchi kupitia social media plus international pressure tutashinda. Ila kwa hii strategy ya Sasa, just pushing for international pressure bila pressure ya wananchi hatutoboi….
Bila kupata accounts za instagram hakuna movement ya maana tutafanya.
We have to push for @meta to face pressure from human rights organizations and the senate to reactivate my Instagram accounts.
‼️MUHIMU KWA WAZALENDO WOTE🚨‼️
Ikiwa imebaki mwezi mmoja kufikia SabaSaba kuna tangazo limewekwa na Gen Z na Gen zote kuwepo kwa maandamano nchi nzima.
Sasa nashauri serikali haramu, vyombo vya Dola na chama cha maharamia CCM yafuatayo:
👉🏽 nakumbuka ktk mazungumzo na marehemu Baba yangu alikuwa ananisimulia matukio aliyoyapitia na alisema unapoenda kuongea na watu waliogoma au walioandamana usitumie nguvu na usiende kuwaona ukiwa na hasira! Wasikilize wakutukane weeee hadi adrenaline zao zishuke ndo muanze kuongea ila waache wafunguke na wasikilize!
Mlikosa busara KABISA Oktoba 2025 mkakubali kupelekeshwa na Abdul ambaye hana cheo serikalini?! Leo wote mnarukana ila wote mmeonekana wauaji!
Sasa mmewaua MAELFUU na kuzika miili yao kisiri - je ndugu wa hao mliowaua mnafikiri mtapunguzaje hasira zao!? Kwa kumwaga damu zaidi? Mnajua mwisho wake!? Hizi adrenalin hazitapoa tena kwa maneno!
👉🏽 Vikosi vya ulinzi na usalama kazi yenu SI KULINDA CCM! Leo hii Mafwele ndo kapigwa ban na si mtu yeyote wa CCM au serikali na bado atahaha na wengine! Hawa wanasiasa wako wapi kuwasaidiane? Kesho mambo ya kibumbuluka Abdul ataenda zake Oman na mama yake! Mtafungwa ninyi! Ndo iwe fundisho!
👉🏽 Maandamano ni HAKI na si uhaini! Cha muhimu mlitakiwa kuruhusu hata CHADEMA na wanaharakati waongoze haya maandamano ili tuwe na njia nzuri na wazi - leo maandamano haya yanaongozwa na watu wasio na jina au sura! Hata mi leo mkinikamata maandamano yataendelea maana watu wamechoka washajipanga kwa kaya! Mi napenda huu utaratibu maana ndo itakuwa na mafanikio kuliko kukamata wachache na kutuwinda kila kukicha! Ila kwenu ni karaha hamjui nani ni nani! Na pia wengine wana hasira tu wanaweza kuamua kufanya magumu na hakuna wa kuwakanya - wameshavuka mstari wa kuambiwa jambo!
👉🏽 JWTZ mmeruhusu vikosi shenzi vya Abdul na Mafwele pamoja na jeshi mamluki ya nje to operate with impunity! Wameua mbele yenu kwa silaha wananchi wasio na hatia! Vijana wamefumuliwa ubongo mbele yenu na mlibaki kuangalia au kurudi kujifungia makambini!
Mmefungua mlango kwa ushenzi zaidi na kesho hata majeshi ya jirani mf ya Uganda wakiamua wenyewe kuvuka na kutuua mtashindwa kudhibiti! Mmeonyesha hadharani udhaifu mkubwa na pona yenu ni kusimamia ulinzi wa wananchi! Kama ambavyo Oktoba 29 tuliamini mnatulinda na watu waliandamana kwa kujiamini ndivyo 7/7 acheni wananchi waandamane na muwalinde haswa! Na msiruhusu Abdul au kikosi chochote kuwaua na wanajeshi watakaodhuru wananchi wachukuliwe hatua kali!
Acheni watanganyika wapumue! Na rudisheni nchi kwa wananchi tuanze upya!
Huu ujumbe si ya machawa maana hao wanajua dili yao imebuma tayari! Naongea na WAZALENDO waliopo kwenye mfumo na ninaamini mmenielewa
Sisi tunasema 7/7 tunatoka! Tulindwe!
#SamiaMustGo #Haki kwa wote na uwajibikaji kwa mauaji halaiki ya Oktoba
Maandamano ya 7/7 yalioandaliwa na GEN Z binafsi nayaunga mkono asilimia mia mbili.
Kiuhalisia naona 7/7 yenyewe inachelewa kufika. Watu hawajazika wapendwa wao mpaka leo ni miezi 7 wanaomboleza hakuna MAJIBU KUTOKA Kwa wakoloni weusi.
Watanzania bado wanaendelea KUTEKWA NA KUPOTEZWA kila siku—wengine wakiwapata wapendwa zao wanawakuta hawana VICHWA wanazika kiwiliwili na hakuna majibu kutoka kwa WAKOLONI WEUSI.
TUNDU LISSU bado yupo jela na hakuna KESI dhidi yake zaidi ya siku 400 sasa, na wakoloni weusi wapo KIMYA tuu ni kama wanaona wanatumudu.
Haya maumivu tunayopitia watanzania lazima wajue tunaumia na sauti yetu lazima waisikie.
BREAKING: VIDEO MPYA. NEW VIDEO EVIDENCE OF THE VIOLENCE THAT TANZANIANS ENDURED DURING THE INTERNET BLACKOUT UNDER SAMIA SULUHU ORDERS.
WATANZANIA AMBAO MLIKUWA MNAOGOPA KUACHIA VIDEO, PLEASE NITUMIENI ILI DUNIA IONE ILI TUPATE MSAADE WA NJE!!!!! WhatsApp +1 424 537 3057