@Sativa255 Naimani wanaotukana wote humu ni kwavile huenda kuna ndugu yake yeyote hayajamkuta ,kufiwa na ndg,jamaa,rafiki or hata mzazi kwa risasi huwezi kuelewa na huenda hata kutekwa tule mtori nyama zipo chini ,Jah bless Africa ,Jah bless Tanzania πΉπΏ