@Maestrowafact Katika kitu najilaumu ni kwann nliwahi kuwaamini wanaharakati wa mtandaoni..hii issue ya iran na usa imefanya niamini ni wajinga halaf kama wanaigana hv bendera fata upepo
leo nimesikiliza sana ngoma za FA .naweza sema kuhusu hizi diss track only mheshimiwa ndo Anaweza kuijibu bongo favor na akaeleweka akaipoteza ya khaligraph.
Nb.kunamstari mmoja unasema alokupa ndo aloninyima ni vyetu tutumie sote.zingatia hio line..tugawane wote maokoto hayo
Waoh!
Tumefika familia ya watu 4,000.
1/5/2023 nitafanya Training ya Fx Trading na mentorship bure.
Itakua ni full course training ya week 2 na mentorship kwa newbies.
Rt hii tweet na Comment neno "Join me" ili niku approve kwenye darasa.
Jiunge.
https://t.co/rnhwrRxzHY