@officialmajizzo Nafikiri hauelewi au unajifanya kutoelewa...hoja sio msanii/wasanii kuwa chama fulani, hoja ni hao wanaoitwa wasanii kuwa upande wa wananchi pale mambo mabaya yanapotokea (i.e. utekaji, ukandamizwaji wa haki, mauaji, na kukosa huduma zingine muhimu za kijamii)
@tometalk208@MickyJnr__ "He wont renewing his contract..his decision is final"...umeielewaje? Au unataka kukimbilia kichaka cha Simba ndo wameshindwana na Azam?