@smilingheart98@adamucyber@Dr_DGwajima Jamaa ana kichwa kidogooo sanaa halafu anajifanya mjuzi wa mambo, sijawahi kuwaelewa watu wa mkoani sijui wanamatatizo gani
@adamucyber@Dr_DGwajima Baada ya kuulizwa swali direct umeanza kujifanya mjuaji sasa tukusaidiaje sie? Kama ww ni mjuzi unatakiwa kujua sorce ya sheria zetu ni maadili yetu, haya chukua hyooo utulie
@Deodravis@spana_Konki Hakika Tumewaongezea Vibali watu wenye magari, Lengo lilikuwa zuri kabsa kurepirt rushwa ila ngoja uone maumivu ya uchafu wa kioo cha mbele. Zitaandikwa hadi tuache magari home.