Utaenda Wapi?
Wote Wana Tamasha Siku Moja, Muda Wa Kuanza Na Kuisha Ni Mmoja Ndani Ya Jiji Ulilopo!!Tiketi Utapewa Bure Utaenda Wapi? BILLNASS NA YOUNG LUNYA!
SportsXtra | Masau Bwire - "Watu wanaweza wakabeza lakini Simba ni timu kubwa na ina heshima yake Afrika , tumejiaandaa lakini kikubwa maombi ndio ambayo tunayategemea zaidi "
"Nawaomba Watanzania waombe kweli , tunaenda kukutana na timu ngumu hata Mashabiki wa Simba kwa kukusea au kwa kuelekezwa na Mungu waiombee Ruvu Shooting ili kesho tupate matokeo"
"Kila mmoja aombe tutakapokuwa uwanjani watakapokuwa wanaelekea kwenye lango la Ruvu Shooting waone lango lipo pembeni na wanapojaribu kufunga Mungu ahamishe goli ili nyavu zetu zibaki salama"
Afisa habari wa Ruvu Shooting kuelekea mchezo wa NBCPL hapo kesho dhidi ya Simba SC
Halafu Ngushi kumbe ulikua na mwonekano mzuri tu, kuna mahala tunakoseaπ
Kila la kheri Fundi wetu mchango wako hatutausahau kamwe.
#TutawapaMcheleWakapikeUbwabwa
Chini ya CEO Barbara Simba imefungwa kwa Mkapa kwenye Champions League kwa mara ya kwanza tangu 2004, chini ya CEO Barbara Simba imetolewa Champions League, chini ya CEO Barbara Simba imefungwa Simba Day, Chini ya CEO Barbara Simba imefungwa kwenye Ngao ya Jamii
Barbara amefeli.