Usipoteze Ndoto Zako Kwa Kusubiri Kila Kitu Kikamilike.
Anza Na Ulicho Nacho,Ulipo Na Hatua Uliyonayo.Maono Yako Hayahitaji Ukamilifu Ili Yaanze,Yanahitaji Ujasiri Wa Kuchukua Hatua.
🔥 Usisubiri.Anza Leo.Chukua Hatua Moja Kuelekea Kwenye Maono Yako.
Kila bara lina sehemu takatifu ispokua afrika watu wake hulipa visa kwenda kutalii sehemu takatifu ya wengine ili watakasike.
Sisi kweli nyani hawakukosea🙁
Ipo ivi ofsaa......!🫵
Ata kipofu siku akipata nafasi ya kuona,kitu cha kwanza kukitupa itakuwa fimbo yake,,,,usaliti una sura nyingi sanaaa......!!🙌
Mzeiya_Inc
Utawa ni uteuzi wa moyoni kutoka kwa Mungu unaohitaji upendo, sadaka na utii wa dhati. Sio kila mtu anaweza kuuishi, kwani unahitaji neema ya pekee na nia ya kweli ya kujitoa kikamilifu kwa ajili ya wengine.