Speaking of Cultural diversity, Abagurusi Foundation has been determined to do , through fashion . Here is the glimpse of our sister from Los Angels ( @crownedselah ) kicking it our local textile presented from our expertise Louis Mo
Track number 20 kwenye #FullIleBaraka ni "Mtafutaji".
Watengwa ni watafutaji tangu enzi na enzi.
Kwenye hii ngoma, wameshirikishwa Mama C na Stopa Rhymes "Yokoi".
Production ni ya Double Y.
Kikazi Zaidi ya Adili Chapakazi akiwashirikisha Nikki wa pili, G Nako na Rama Dee.
September 27,2010 Ngoma Ikatoka huku #JorsBless alitubariki sana na mdundo safi kwenye studio za Sababisha.
Unyama ulifanyika humu unaweza usijue mwenye wimbo ni nani 🔥
Track number 19 kwenye #FullIleBaraka ni Interlude ya Mama Charlotte O'Neal.
Mama C amekuwa mlezi wa Watengwa tangu enzi na enzi na amekuwa sehemu kubwa ya harakati zetu.
Mama C ni Mtengwa.
"Today is a good day na stunt ka' gorilla, Nigga get out ma way ni Mbishi so Godzilla / Nadhibit kama X na kisha na multiply, 50 kama das efx kwa kiki pub iko high"
- Nikki Mbishi 🎙️ #Kilasiku 🎶 (RIP ZIZI) 🕊️
Kama umekuwa Inspired uandishi wa Nikki Mbishi, Stereo na One the Incredible
Basi unafaa umheshimu sana Hashim Dogo Mwendawazimu.
Hashim Dogo alikuwa mbele sana ya muda.