@godbless_lema Kwann upande mmoja wakiongea kitu ! Kinapewa kipaumbele na kuunganishwa na mamlaka husika but upande mwingine yaan mtu anaweza kusemama chochote wala hakuna wa kutilia maanan wala kuomba kusibitisha!!! Hii Haijengi ina bomoa !!
@RuqayyaNassir @ortamisemitz Maoni na hatuba wanazotoa viongozi wa juu kuhusu kusimamia Demokrasia ni tofauti kabisa ukija nyuma ya pazia! Hii sio sawa kabisa!! tutazama wote
@EduTalkTz Mabaya Yote yalikuja kwa mwanadamu alipomwasi Mungu, Yote unayohoji ( lalamikia) yameletwa na u hasi wetu kwa Mungu , Soma bible kwa utulivu utapata majibu