@MickyJnr__ Ask previous young Africans coach who came and watched @SimbaSCTanzania game against Mlandege days before Derby, now is on air going back home with his bags
@lutonja@IAMartin_ Tatizo sio Vilaza,, we unataka wafanyeje? Wkt ukiandamana kudai haki unakutana na wahuni wamevaa kofia na jezi za yanga na SMG za kuulia tembo wanakulamba shaba na hawana kesi..
@TonnyUnfiltered Kwa sisi ambao ni Special.. nikimuangalia msichana na nikamuongelesha naelewa kabisa huyu ni bikira au katumiwa na mwanaume mmoja tu alomtoa bikra.. Hisia za rohoni ndo zinazofny kazi hapo sio macho nyama
CANDY FRANK ANAHITAJI MSAADA WETU.
Huyu binti anaitwa Candy Frank Mathias anaishi Sumbawanga mjini na Mama yake
Hapo awali alikuwa mzima wa afya lakin mambo yalibadilika baada ya kuanguka jambo ambalo lilipelekea pingili za mgongo kupishana hivyo imemfanya yeye kushindwa kutembea hivyo akajikuta ameshindwa hata kuendelea na Masomo yake.
Kwasasa anatembea kidogo kwa msaada wa Magogo hivyo anaomba msaada wa Wheelchair pamoja na vifaa vya shule ili aweze kurudi shule kuendelea na Masomo yake.
Wheelchair inauzwa 600,000 + mahitaj ya shule pamoja pesa kidogo ya kumsaidia Mama yake wakipata 1,000,000 inaweza kuwasaidia.
Michango itumwe kwenye namba ya Mama ake Candy
Mpesa 0768816630,
Jina Agnes Lunguya.
Natamguliza shukran za dhati.
In #Relationship When men panic😠
❓️MEN ASK YOU QUESTION AND ANSWER QUESTION THEMSELVES.
❓️MEN SLAP YOU WHEN TRY REPLY or ANSWER TO THEIR CLAIM.
❓️MEN START BITTING WHILE NOT GIVE CHANCE TO EXPLAIN
❓️MEN THINK ONLY BADIES ABOUT YOU
❓️who bewitched men❓️
#Title#relationship
Kuna wakati ghafla tu, Mungu analeta mtu kwny maisha yako ili wewe UMPENDE, yeye AKUUMIZE basi, Nothing else!!
😭😭 another simple 💔in life❤️🩹
#DAZZO#YNEP#ALoP
#NATIONALITY
"UKIISHI KWA AJILI YA WATU UTAISHI MILELE" (Dkt J.Gwajima)
If Leaders are there for the people, why are they rich when people remain poor?
#DAZZO