#TajiriLaKihaya
Sheria Mpya imetoka rasmi 📢*
GN. NO. 158C - "Electronic Transactions (Mandatory Electronic Payments)"
Iliwekwa saini 30th June, 2026 na Waziri wa Fedha *KHAMIS MUSSA OMAR*
*MAANA YAKE KWA KISWAHILI RAHISI:*
Kuanzia sasa malipo haya 9 LAZIMA yafanywe kwa *malipo ya kielektroniki* tu. Pesa taslimu/Cash haitakubaliwa tena.
*MALIPO 9 YANAYOPASWA KUWA ELECTRONIC:*
1. *Usafiri* - Basi la haraka BRT, feri, madaraja, mabasi ya mikoani, taxi za online, ndege, treni, na maegesho
2. *Malls & Burudani* - Maduka makubwa, gym, sinema, ukumbi wa mikutano, viwanja vya michezo, vituo vya mafuta, maonyesho kama Saba Saba na Nane Nane
3. *Elimu* - Ada za shule za awali, msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu
4. *Elimu ya Juu* - Michango ya vyuo na vyuo vikuu
5. *Hoteli & Migahawa* - Malazi, chakula na vinywaji
6. *Utalii* - Malipo yote ya huduma za utalii
7. *Mali* - Kupanga, kuuza au kununua nyumba, kiwanja au shamba
8. *Magari* - Kununua au kuuza gari
9. *Kilimo* - Kupitia vyama vya ushirika AMCOS kwa mazao ya kimkakati: pamba, korosho, kahawa, chai, mkonge, tumbaku + pembejeo na dawa
*VITU 3 MUHIMU KUVIJUA:
1. *Malipo ya Electronic ni yapi?* M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money, HaloPesa, Bank Transfer, Card, NMB, CRDB nk.
2. *Kwa nini?* Kupunguza ufisadi, kuongeza mapato ya serikali, na kufuatilia mzunguko wa pesa
3. *Atakaeukiuka?* Biashara itapigwa faini na inaweza kufungwa
*ITAKUGUSA VIPI?*
- Ukinunua chakula hotelini > Lipa kwa simu
- Ukinunua tiketi ya basi la mikoani > Lipa kwa simu
- Ukipeleka mtoto shule > Ada kwa benki/sim
- Ukinunua mafuta > Lipa kwa card/sim
*Kwa kifupi:* Kuanzia sasa "beba pesa mfukoni" kwa malipo makubwa inakwisha pole pole
Sometimes God holds You Back Until The Road is Safe and Clear, Always Be Thankful, What is Meant For You Will Eventually Get To You, Dreams Delayed Are Not Dreams Denied 🙏
Kama Una unlimited bundle/fiber/starlink
Ngo'a ving'amuzi vyote uza screpa.
Fuata thread hii kuweza kustream kila kitu Bure kwenye TV yako,
Ikiwemo;
Soka
Movies
Tennis
Cricket
Boxing
News nk
Bookmark HARAKA mnooo
Mtu akikuuliza shule ni nini, mwoneshe hii video.
Mtu akikuuliza elimu ni nini, mwoneshe hii video.
Mtu akikuuliza mwalimu ni nani, mwoneshe hii video.
Mhitimu wa elimu ya aina hii hahitaji cheti.
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilikaa Julai 29. Siku hiyo hiyo Jeshi la Polisi linatoa taarifa 'KURUHUSU' mikutano! Julai 30, mahakama ya Rufani inatoa 'ushindi' kwa Lissu dhidi ya DPP, huku mama Kizimkazi akikutana na wanasiasa Ikulu. Julai 31, kesi ya uhaini ya Lissu inapangiwa tarehe.
Bado unataka ushahidi gani kuona kuwa DPP, Jeshi & mahakama wote wanapokea maelekezo & kuwa kesi ya TAL ni ya KISIASA! Bado unataka ushahidi wa chama KUSHIKA HATAMU!
@SharonMontana20 Nimefikia hizi nchi (Kenya, Tanzania, Uganda, DRC) nasadiki kusema “Wa’Tz tuna Warembo na Wanawake Wazuri mno🔥🫶🏾, ni vile hatuheshimu na kuthamin vya kwetu
Kwa wale mnaopenda kusoma na kusali kwa kutumia vifungu vya Biblia:
Anza na Isaya 41:10 kuomba nguvu, ujasiri na msaada wa Mungu wakati wa changamoto. Endelea na Yeremia 29:11 kuomba tumaini, mwelekeo na mipango mema ya Mungu katika maisha yako. Kisha soma Wafilipi 4:6–7 kuomba amani ya Mungu na kuondoa hofu na mawazo mengi. Malizia na Methali 3:5–6 kumwomba Mungu akuongoze katika kila hatua na maamuzi yako. 🙏
Your iPhone shoots better photos than most cameras. Apple just leaves half the settings switched off out of the box.
Here are the 7 to change tonight:👇
2027 imebaki miezi 6 tu.
2016 ilikuwa miaka 10 iliyopita.
COVID ilianza zaidi ya miaka 6 iliyopita.
Waliozaliwa 1990 wamebakiza miaka 14 tu kutimiza miaka 50.
Na leo, 2007 iko mbali zaidi kuliko 2040.
Muda unakimbia.
Acha kusubiri. Anza sasa.