Hadi kufikia hapa #ElimikaWikiendi hatuna la ziada. Shukran za kipekee ziwaendee waelimishaji wetu wa leo, tunaamini umejifunza kitu kipya.
Zaidi sana tukushukuru wewe kwa muda wako na kushiriki Darasani. Tunakutakia mapumziko mema ya wiki.
Today is #WorldTBDay
Despite being curable, tuberculosis is the worldโs leading infectious killer.
We need more leaders for a TB-free world!
To #EndTB, we need YOU. CC @WHO
Hii siyo ya kukosa kuanzia tarehe 5/01/2018 Rise Online Tv inakulete dondoo za magazeti, msomaji ni @Innocent_Horomo, ni kila siku asubuhi usikose
#MorningBell
#picha: Spika Ndugai Aongoza Mawaziri, Wabunge Pamoja Na Viongozi Mbali Mbali Wa Serikali Katika Mazishi Ya Aliyekuwa Mbunge Wa Songea Mjini Mhe. Leonadis Gama.
Wanachama wanane wa CUF waliovuliwa ubunge wamemwandika barua Katibu wa Bunge ili amjulishe Spika Job Ndugai kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu ili achukue hatua stahiki ikiwemo utaratibu utakaowarudisha kwenye nafasi zao @risemediatz